Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,352
Katika hilo mkuu, ikiwa ni kweli. Sasa si watu watafanyiana sana michezo michafu? Dunia itakalika kweli? Kwamba mtu ana chuki na fulani anaamua tu kuacha ujumbe kajiua kisa fulani amemfanyia hiki, huoni wengi wataonewa na mzani huu utawa favor wachache?Apo binti akipata washaur wazur,
Hao jamaa uko polisi zitawatoka Zaid ya million kumaliza Iyo kesi, watajutia Bora hata ile laki yao wangesamehe.
Waombe TU,
binti akae nalo moyoni na wala asije kujiua.
Ila akijiua na akaacha ujumbe,
Iyo kesi ya mauaji hawachomoki wanaozea jela.
Sent using Jamii Forums mobile app