Ushauri wa bure kwa Wanawake

Ushauri wa bure kwa Wanawake

Hii imenikumbusha nilishuhudia wadada wawili wamekuja na polisi kusema wamebakwa na kijana mmoja alikuwa anaonekana ni mstaarabu sana.Mimi kimoyomoyo nikawa nasema amebakaje watu wawili kwa wakati mmoja mkashindwa hata kupiga kelele.Yule kaka baada ya kama week hivi alihama pale kwa aibu[emoji16][emoji16][emoji16]
Unahama bila kupenda,
Apo usikute kahama kukimbia msako wa polisi[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah! Sometimes unamuhudumia vizuri tu, humtesi umempa uhuru n.k, ila mkikorofishana tu akishawishiwa na mchepuko wake si anaweza kwenda kukushtaki unambaka hata kama anakupa kwa hiari?

Ila kwa Bongo sijaona mke wa ndoa kabisa akimshitaki mumewe polisi kuwa kabakwa, labda huko ughaibuni. Kesi hizi zinaishia ga kwenye vikao na washenga tu. Wanawake wengi wanabakwa ila hawapo tayarikujidhalilisha kuwashitaki waume zao polisi.

Ila nimepata picha muenendo wa kesi zihusuzo masuala ya jinsia katika nchi hii.
Kuna jamaa mwaka Jana kashtakiwa na mkewe wa ndo polisi kwa kumlawiti.

Polisi wamemchojoa pesa jamaa ikafikia hatua AKaomba msamaha kwa mkewe.

Alipotoka TU,
Kaenda kumpiga na kumjeruhi.

Mwanamke kalianzisha jingine anataka talaka, januari mwaka huu kila kituk kimeuzwa wamegawana kila mtu kivyake.

Sema alopata hasara Ni jamaa maana mgao umezingatia watoto alonao mwanamke..

Ukiangalia tu utaratibu wa kuchangia malezi ya watoto,
jamaa unamuumiza sana maana assets zake nying zmekwenda kwa mwanamke.

Hakutumia akili wakati anaoa. Huyo tunasema hakuchagia ila ALIOKOTEZA tu malaya akaoa. Hii iwe fundisho, sijui watu huwa wanafeli wapi. Alioa malaya huyo jamaa yako. Huenda mali walitafuta wote yeye na huyo mkewe.

Halafu, kesi ya ulawiti si kama kesi ya kumtusi mtu, ni kesi ya Jamhuri. Hapo inaonekana rushwa ilitembea, haiwezekani mlalamikaji afute kesi ya ULAWITI kirahisi hivyo, wakati ni ya Jamhuri. Hapa pia najifunza yanayotendeka katika vyombo vyetu vya mahakama.
 
Hamna kitu hapo.Kama mwanamke unampa hela ndio akuvulie jua upo kwenye biashara isiyo rasmi tu,na kwenye biashara kuna faida na hasara.Muwe mnawekeza mnavyoweza kupoteza mwisho wa siku ndio kama hapo eti unaenda kubaka[emoji1751][emoji1751]
Wewe una akili, umewashinda wanaume wengi sana kwenye thredi hii kwa kufikiri kwako. Kongole!
 
Hii kesi ni nyeupe kumfunga mtu yeyote.
Wee ujawai shuhudia kahaba kazulumiwa pesa yake au umemla tigo nje ya bei afu Kaenda kukushtaki polisi kabakwa na kifirwa.

Mtiti wake unajua ukoje?
Aisee Zitakutoka nyingi kuliko hata Ile pesa ulopaswa kumlipa.

Yaani kisheria mwanamke hata awe anajiuza, ukishtakiwa nae polisi UMEISHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu huyo jamaa anamaanisha kwamba huyo manzi atakuwa na aibu sana ,pili atawaza watu/jamii ikishajua nimeingiliwa kinyume na maumbile plus kubakwa na watu 8 (hapo kitakachomtesa ni saikolojia) ataona bora kubaki nalo moyoni

ni sawasawa na mwanaume kulawitiwa ni ngum kwenda kushtaki atajiuliza jamii ikishajua hata watoto wadogo watancheka.

ila kama manzi ni jasiri na haogopi yale maneno yatayoenea mitaani basi anaweza kuwafunga hao jamaa

ila wanaume tubadilike demu akionyesha dalili ya kutokukupa ushirikiano piga chini tafuta mwngne

naomba kuwasilisha
 
Sasa hapo wamemuonea tu huyo mwanamke. Maana kama amekuja mpaka ghetto kuliwa,ni wapi alipokataa kuliwa mbususu baada ya kula pesa?. Naona ulikosa cha kuleta ubaoni hapa. Hakuna tukio kama hilo,hii ni chai
Ni kweli mkuu hii ni chai nimeileta hapa nione watu wataizungumziaje
 
Hakutumia akili wakati anaoa. Huyo tunasema hakuchagia ila ALIOKOTEZA tu malaya akaoa. Hii iwe fundisho, sijui watu huwa wanafeli wapi. Alioa malaya huyo jamaa yako. Huenda mali walitafuta wote yeye na huyo mkewe.

Halafu, kesi ya ulawiti si kama kesi ya kumtusi mtu, ni kesi ya Jamhuri. Hapo inaonekana rushwa ilitembea, haiwezekani mlalamikaji afute kesi ya ULAWITI kirahisi hivyo, wakati ni ya Jamhuri. Hapa pia najifunza yanayotendeka katika vyombo vyetu vya mahakama.
Ndo maana nikasema mom kesi kaimaliza, pesa ilimtoka kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom