DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,613
Hapo Kuna kesi kibao.Atawakomoaje?
1.ya ubakaji
2. Udhalilishaji kijinsia
3. Ulawiti
4. Kushambulia mwili
5. Kutishia silaha.
Yaani Apo jalada la mashtaka linajaa utitiri wa kesi.
Na Kama uchumi wao mdogo, wanauza Mali za familia.
Sent using Jamii Forums mobile app