Ushauri wa bure kwa wanawake..

hKichaka

Senior Member
Apr 23, 2011
199
19
Hii tabia ya wanawake kupenda mpaka wanakopesha wapenzi wao hela nyingi mpaka milion 5 halafu jamaa anaingia mitini, hakuna kuoa wala hela hairudi .Je ni mapenzi gani haya jamani wan JF?
 
Duuh..umeamua kuianzishia thread kbc. C ungecomment tu kulekule kwenye ile thread mkuu.
 
Hii tabia ya wanawake kupenda mpaka wanakopesha wapenzi wao hela nyingi mpaka milion 5 halafu jamaa anaingia mitini, hakuna kuoa wala hela hairudi .Je ni mapenzi gani haya jamani wan JF?
Inategemea labda kwake pesa sio issue, na ana-value mambo mengine kuliko pesa
 
Mambo kusaidiana bwana. Sasa kama mpenzi wako anashida umuache aaibike wakati una uwezo wa kumsaidia. Tena kumkopesha haifai inabidi umpe tu.
 
Dah haka kakitu kakumkopesha mkaka kamewahi nitokea. Mkaka mmoja aliwahijidai ananipenda mi nkaona siwezi mambo yake, si akabadilika akawa rafiki wa kawaida, anakuja home kwetu yani akawa mkaka mwema tu. Siku moja akanipigia aisee dogo bosi wetu kasafiri yani hatujapewa mshahara kabisa. Niazime laki 2 wik ijayo intarudisha, hadi sasa mwaka unaisha harudishi. Siku nkamuliza kistaarabu kwa SMS akajibu nikumbushe unanidai sh ngapi? Dah kimeniuma hadi nimekoma kuwaamini vijana walahi.
 
we! Hastahili hivyo na kumbuka waliopigwa mawe kama wa kina Stefano walikuwa right so, Husninyo is right. Think again!
Umechukulia vibaya sio mawe yakuokotwa.. bali mawe yakuachwa .. Hus anaeleewa Pole kama nimekukwaza..
 
Back
Top Bottom