Labda nikuulize suala kidogo hapo kabla sijasoma zaidi.
1. Je zile kodi watakazokuwa zinachukuliwa na Serikali ya TGK watazitumiaje? au wa wakatwe lakin zipangiwa kuendesha mahakama za Kikiristu?
2. Lakin mbona Serikali hiyo hiyo ya JMTz kila mwaka inatoa 1.2 Bil kuyapa makanisa kutokana na Mou ya Kanisa na Serikali ya JMTz iliyosainiwa na Lowassa? Mbona waislam hawalalamiki hapo?
Ni hayo tu naomba ufafanuzi wako.
Mkuu sipendi kabisa kujadili mambo ya dini lakini inanilazimu kukujibu kutokana na wewe mwenyewe kutoelewa ama kutazama upande mmoja tu.
Ebu niwaulizeni, Ikiwa serikali itaamua kutumia sheria za secularism kwa wote, Je mtakubali sheria hiyo hiyo inamruhusu mwanamke wa kudai taraka mahakamani - Wwakatoliki wataikubali? maana itakuwa sheria kwa wote na tunalazimika kuifuata pasipo kujali imani za dini. Sasa hawa jamaa zetu wanaomba utaratibu wao ambao hautambuliwi na serikali, japo ktk ibada zao za kesi za madai ni lazima zipitie mahakama ya kadh,i kuna kosa gani kwa serikali hii kutambua maamuzi ya mahakama hiyo kama inavyotambua maamuzi ya kikanisa juu ya ndoa na migogoro ya unyumba baina ya waumini wake.
Tuna aina mbili ya sheria, secular na pia mila na tamaduni zinakubaliwa (cultural law) ambazo zinatokana na jamii yetu hivyo nyie mnaona taabu gani kuwaachia waislaam wafanye maamuzi yao na yatambuliwe na sio swala la wao kwamba wanaomba fedha za walipa kodi kuendesha mahakama zao bali mahaka hizi zitambuliwe kisheria ili isije sheria za secular zitumike ktk ndoa za Kiislaam.
Mna mahospitali nyie?
Hizo clinic unaziita HOSPITAL?
Je unatambua kuwa MJENZI WA HOSPITALI YA MUHIMBILI NI MUISLAMU?
Nahakika hilo HULIJUI.Kwa sababu HUNA ELIMU YYT zaidi ya hio ya kupika Gongo.
Sasa nenda kaulize kwa WENYE KUJUA lile jina "SEWA HAJI " ni la nani. Na Huyo MJENZI WA HIO HOSPITALI ALIKUWA NI NANI!
Eti " HOSPITALI ZETU MAKAFIRI!"
Nyambaf kafiri usiejitambua we.
Mbona hakuna aya hapo inayoelezea mahakama ya kadhi mkuu? Nipe aya inayoonyesha hii mahakama mnayolilia..sio hadithi za muhukumu kwa haki.
Ndio mie nafikiri alikuwa mjinga sanaunafikiri aliyeitoa alikuwa mjinga?
Huyo kafiri hapo juu humuoni sio?
Au na wewe una macho ya kigalatia!
Yanayotazama upande mmoja tu.
Soma uzi uone nani kaanza matusi. Sio kuniijia mimi km tunafahamiana.
Ushauri wako nenda nao sisi tunataka mahakama ya kadh basi
sijatukana na huwa situkani, ni maelekezo ya mwamedi mtu akifa anakamuliwa kinyesi! TUSI LIPI?
sijatukana na huwa situkani, ni maelekezo ya mwamedi mtu akifa anakamuliwa kinyesi! TUSI LIPI?
Halafu wanatia kwenye uji ,mbona himalizii, yaan nyinyi wagalatia sijui kwa nini mnakuwa wambea hiv
sijatukana na huwa situkani, ni maelekezo ya mwamedi mtu akifa anakamuliwa kinyesi! TUSI LIPI?
Usiwe mjinga wa kutukana na kukashif watu na imani zao.
Kufanya hivyo ni kukaribisha kutukanwa ww wazani wako na imani yako.
Nikiwa kama muislamu naunga mkono mahakama ya kadhi iwepo kwa mujibu wa sheria. Lakini suala la kuiendesha kwa kodi ya jumla ndio siungi mkono, naona itapelekea kuendeshwa na pesa chafu za wauza pombe na nguruwe.
Mimi mawazo yangu ni kuunda kitengo maalumu ndani ya TRA ambacho kazi yake itakuwa kukusanya kodi ya kuendeshea mahakama ya kadhi tu. Kitengo hiki kiwe na kitu kama fomu hivi ambayo walipa kodi wakiislamu wenye TIN wata declare kwa hiyari yao kuongezewa percent ndogo kwenye kodi wanazolipa kuendeshea mahakama ya kadhi. Naamini waislamu ni walipa kodi wazuri na wanaipenda dini yao, hawawezi kupinga utaratibu kama huu.
we unatembea nacho tumboni! FAIR SQUARE
Unatamani afe umkamue tu!
Mna mahospitali nyie?
Hizo clinic unaziita HOSPITAL?
Je unatambua kuwa MJENZI WA HOSPITALI YA MUHIMBILI NI MUISLAMU?
Nahakika hilo HULIJUI.Kwa sababu HUNA ELIMU YYT zaidi ya hio ya kupika Gongo.
Sasa nenda kaulize kwa WENYE KUJUA lile jina "SEWA HAJI " ni la nani. Na Huyo MJENZI WA HIO HOSPITALI ALIKUWA NI NANI!
Eti " HOSPITALI ZETU MAKAFIRI!"
Nyambaf kafiri usiejitambua we.
We are talking about Tanzania and not Kenya.Ishmael
Acha kudanganya watu wewe! Maswali yako yalishafanyiwa kazi na kujibiwa. Majibu yako ni hayo hapo chini. Hiyo ni katiba ya kenya ya Sasa.
"Part 3Subordinate Courts
169. (1) The subordinate courts are
(a) the Magistrates courts;
(b) the Kadhis courts;
(c) the Courts Martial; and
(d) any other court or local tribunal as may be established by
an Act of Parliament, other than the courts established as
required by Article 162 (2).
Kenya is not Tanzania(2) Parliament shall enact legislation conferring jurisdiction,
functions and powers on the courts established under clause (1).
Subordinate courts.
R e v . 2 0 1 0 ] Constitution of Kenya 105
170. (1) There shall be a Chief Kadhi and such number, being
not fewer than three, of other Kadhis as may be prescribed under an
Act of Parliament.
(2) A person shall not be qualified to be appointed to hold or act
in the office of Kadhi unless the person
(a) professes the Muslim religion; and
(b) possesses such knowledge of the Muslim law applicable to
any sects of Muslims as qualifies the person, in the opinion of
the Judicial Service Commission, to hold a Kadhis court.
(3) Parliament shall establish Kadhis courts, each of which shall
have the jurisdiction and powers conferred on it by legislation, subject
to clause (5).
(4) The Chief Kadhi and the other Kadhis, or the Chief Kadhi and
such of the other Kadhis (not being fewer than three in number) as may
be prescribed under an Act of Parliament, shall each be empowered to
hold a Kadhis court having jurisdiction within Kenya.
(5) The jurisdiction of a Kadhis court shall be limited to the
determination of questions of Muslim law relating to personal status,
marriage, divorce or inheritance in proceedings in which all the parties
profess the Muslim religion and submit to the jurisdiction of the Kadhis
courts."
Mbona umepanic kaka