Ushauri wa bure kwa Waislam

Status
Not open for further replies.
Waislamu wanaoijua dini uwezi waona wanalilia mahakama ya kadhi....Quran tukufu haijaruhusu mambo ya mahakama ya kadhi....Ukiona mtu anashupalia mahakama ya kadhi basi ujue haujui uislamu anadandia aje tumfundishe.
 

CC: kahtaan, Ritz, FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa, halafu kule kwenye nchi ya kusadikika ya ISIS jamaa wanatekeleza sheria za kiislamu, lakini waislamu wa kule tena wanalalamika kuonewa,the next issue is,hiyo mahakama itaendeshwa na SUNNI au SHIA? Maana huko ISIS wanawapiga waislamu wenzao wa dhehebu tofauti,na kwa kuwa uislamu unaendeshwa kwa nguvu na kama hutaki unauwawa,je watawavumilia waislamu wenzao ambao hawatataka kupelekwa kwenye mahakama ya kadhi? Na kwa kuwa quran ni moja na inabidi yote iaminiwe kama ilivyo,je itakapotokea kosa limewasilishwa na linataka mtu apigwe mawe mpaka afe au akatwe mkono serikali itazuiaje suala hilo? Kuna ndoa za dini mchanganyiko,islam na wengine hizi inakuwaje?
 
Kwanini inalazimishwa kuweka kwenye katiba?
Inafaida gani kwa taifa?
 
Ccm wakicheza na hili wanaenda kuiboa hii nchi sasa hivi tena watajuta maisha yao yote.
 
Hatupingi kuanzishwa tunachopinga ni kutumia kodi zetu kuwalipa hao makadhi wenu na kuliweka suala hili kwenye katiba yetu

Siku zote mnatufanya waislam hatuna akili, hatujasoma au hatujui tulitendalo. Lakin ukwel kama mngekuwa mnataka kujua ukwel wa haya mambo bas mngewajua waislam vizur tu . sisi hatushindwi kuwalipa makadh au kuendesha mahakama zetu kama mlivyodhan .kama mnaweza waambie bakwata ivunjwe halafu uone kama kama waislam tutashindwa kuinuka .mfano waislam tuna should nyingi za kislaam ambazo bakwata wamezichukua kwa madai ya kuzisimamia lakin Leo zinakufa ,wakat mwanzo kabla hazijachukuliwa na bakwata zilikuwa ziko vizur lakin sasa hiv hata mishahara walim hawana, kilichopo serikal hawatak mahakama ya kadh na wanawatumia bakwata ili isifanikiwe ndio hapo inapokuja inshu ya kod ili iweze kuendeshwa nk hata hiyo katiba wameenda mashekhe wa bakwata
 
... Kwani inawahusu nini? ...!
Inawahusu sana kwa kuwa Katiba ni ya wote, lakini mahakama ya kadhi ni ya waisilamu. Mkitaka andikeni katiba ya Waisilamu muiingize mahakama ya kadhi. Kwani huko uisilamu hakuna majaji waliobobea kutunga katiba zenu?
 

QUR-ANI haimtambui mtoto wa nje ya ndoa.utatulazimishaje tuweke huruma wakati muongozo wa waislamu unakataa?
 
QUR-ANI haimtambui mtoto wa nje ya ndoa.utatulazimishaje tuweke huruma wakati muongozo wa waislamu unakataa?

Uislam unakataza zinaa kwa maana hiyo mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto wa zinaa . Kumkubal MTOTO wa dhina maana yake umeihalalisha dhinaa upo hapo .so kwa mwisilamu ambaye hatak kizazi chake kisitengwe bas atastahamir mpaka aoe au kuolewa ili apate mtoto halali
 
kwani ikiwa kwenye katiba hata wakristu watalazimishwa kwenda huko? mf. umezinguana na muislamu au itakuwaje?.... Hivi kuna wanawake wanaweza kwenda kwa kadhi kuamua mirathi....maana sheria zao huko mwanamke hapati kitu
 
kwani ikiwa kwenye katiba hata wakristu watalazimishwa kwenda huko? mf. umezinguana na muislamu au itakuwaje?.... Hivi kuna wanawake wanaweza kwenda kwa kadhi kuamua mirathi....maana sheria zao huko mwanamke hapati kitu

Wewe nani kakwambia mwanamke hapat urith. Ha ha ha yaan nyinyi mpo kuukandamiza uislamu bas siku zote mnaakaa mnaongopeana mnaleta mada .kwa taarifa yenu uislam umempendelea mwanamke kupita kitu chochote na endapo wanawake wa kiislam tungekuwa tunaish kama uislam unavyotaka naapa kwa mola Wangu nyinyi wakristo mngeandamana
 

umejitahd kuandika gazet but jifunze unajuwa mahakama ya kadh inatakiwa itambulike kitaifa na kimataifa koz ndio inakuwa chombo kikuu cha waisalam sawa na kkkt na Vatican na hio mahakama ya kawaida koz ktk uislam Allah peke yake ndo hakimu so guidelines zpo ktk Quran.... great thinker think great 😂😈
 
Hivi mnaelewa mnachokidai??? Hivi tanzania kuna waislam kweli???
Wenzenu wanatamani maisha tunayoishi tanzania na kukimbilia kwetu huku,, kuwa imani hiari yako wether you are muslim or christian,, no one bother.. Hebu basi muwe na shukrani na maisha haya tuliyonayo..

Hivi mnajua huko wenzenu wakizini ni wanauwawa,, ukiiba wanakatwa mikono..

Mi nadhani ifike kipindi mjue hii nchi ni ya dini zote haina dini moja tuuu..
 
Nani kakueleza hivyo.........? acha kudandia vitu usivyovijua kwa kufuata ushabiki wa Kidini..............................!!!!!!!
 
Wasio waislam nao wakiundiwa kitengo chao ndani ya TRA kulipia kodi zao tutafika kweli kama Taifa?
 
Nani kakueleza hivyo.........? acha kudandia vitu usivyovijua kwa kufuata ushabiki wa Kidini..............................!!!!!!!
Luna muislam mwenzako kasema hivyo tena katoa na ushahidi kwenye uzi wenye title "Ukawa kuparaganyika kesho". Kaso uone muislam mwenzako alivyojisifu.
 

kweli mdau kapotosha, lakini hilo la kusema eti uislamu umependelea mwanamke? hapo hapana, nchi za kiislamu zipo kibao Saudi, Iran, Iraq, Afghanistan, pakistani, somalia, northern nigeria etc, tunaona jinsi wanawake wanavyopendelewa huko ambako serikali inafuata FULL SHARIA not just KADHI COURTS!
 

mahakama ya kadhi, KKKT, na VATICAN vina uhusiano gani? VATICAN ni chombo au nchi? KKKT ni chombo? ....
 

Umeeleza vizuri kuwa mahakama ya kadhi kwa waislam ni ibada, lakini kumbuka pia utaratibu wa ibada kwa muislam umefafanuliwa kwenye Qur'an tukufu na mafundisho ya sunna h za mtume wetu Muhammad (SWA), na suala la mirathi ni moja ya mafundisho hayo kwa hivyo nalo kwetu waislam ni ibada! kama unakubaliana na talakakutolewa kwa kadhi basi vivyo hivyo ukubali kuwa mirathi nayo itolewe kwa kadhi maana nayo ni sehemuya ibada!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…