Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,104
- 34,921
MziziMkavu bado unazidi kuonyesha uwezo mdogo wa kufikiria na ujuzi wako mdogo kwa kuwa mtu wakumsilikiza Ilunga. ushauri fuatilia Tume ya kubadilisha sheria ya profesa Ibrahim Juma (Bingwa wa sharia law) ambayo pia ilisema serekali haiwezi kuanzisha mahakama ya kadhi. Huwezi kuwa na sheria tofauti kwa makudi tofauti ukawa na nchi moja. Ndio maana na sema na sisi wamasai tutadai na dini zetu zisitambulike ili tukiiba ng'ombe iwe halali kwasababu ndio Dini yetu inasema Ngomezetu dunia ni zetu wamasai na watu wengine wenye Ng'ombe wanatutunzia tu. Wakristo nao hawatambui talaka na kama mume na mke wakiachana haitambuliki kisheria wakati waislam mna talaka sijui tatu. Mahakama ya kadhi ni sawa na ubaguzi wa afrika ya kusini ulioweka sheria tofauti kwa wazungu na sheria kwa waafrika.
Hata raisi wennu zaifu alisema hapa (https://www.youtube.com/watch?v=Pk_ZyYwdIpE) ila tatizo CCM wanataka kubaki madarakani na wako tayari kufanya lolote iliwabaki madarakani ndio wanaleta siasa za makama ya kadhi. Hata Kenya mahakama ya kadhi iliingizwa kisiasa tu ila kama kweli unaangalia uwasa wa wananchi wote katika sheria huwezi kukubali mahakama ya kadhi. Waisilamu wenyewe bado hata amukubaliani jinsi ya kuziendesha maana wengine wanasema wanawake hwaruhusiwi kuwa kadhi wakati wangine wanakata kwa kisingizio cha Kadhi mwanamke hawezi kufungisha ndoa akiwa mwezini (https://www.youtube.com/watch?v=Ux_gaR4NxKY). Sasa kweli serekali inatakiwa kuingia kwenye mjadala wa ndoa sio halali kwasababu kadhi aliyefungisha ndoa alikuwa mwezini.
Kuwepo kwa Mahakama ya Kadhi hakutaibadilisha Tanzania eti ni kuwa ni nchi inayoongozwa na Sheria za Waislam la hasha. Tanzania itabaki ni nchi inayoongozwa kwa katiba ya nchi na nchi isiyokuwa na Dini yoyote ile iwe Dini ya Kiislam au Dini ya Kikristo acheni uoga. Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania iwaruhusu Kisheria Waislam waanzishe Mahakama yao ya Kadhi bila ya kipingamizi wala kuwazuia haki zao kwa muujibu wa sheria za nchi . Huo ndio ushauri wangu asanteni.You are ONLY 35% Source: Islam in Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia
Islam in Tanzania only 35%
Umeongea vizuri sana, na hapa ndiyo root causes ya tatizo lenyewe. Kwamba mahakama ya kadhi ni kwaajili ya waislamu tu. Kwamba wakiristu haiwahusu kabisa.
Sasa kama ni hivyo kwanini basi wakiristu na watu wengine wasiohusika na mahakama ya kadhi wagharamikie kuiendesha hiyo mahakama ambayo haiwahusu kabisa.
Mimi sina tatizo kama katiba itatambua uwepo wa mahakama ya kadhi. Lakini uendeshwaji wake na gharama zake uwe ni juu ya waislamu wenyewe.
Mpaka leo tunasikia malalamiko kutoka kwa waislamu wengi kwamba serikali iliwaundia BAKWATA. Kwanini tena leo mnataka serikali hiyo hiyo uwaundie MAHAKAMA YA KADHI?!
Hapa ndio kunapoleta mashaka makubwa
Mkuu hio wikipedia hata wewe unaweza kui edit ukaongeza mambo yako humo km alivyofanya huyu mchungaji Ishmael na hio blog yake mbuzi.
Ukitaka kujua idadi ya Waislamu Tz Nenda kwa msajili wa vizazi na vifo ukakusanye Data ndipo utagundua kuwa Waislamu Tz Wamezidi 60% na wanazidi Kuongezeka.
Yaan wafuga majini hawana akili hata kidogo,
Constitution is not support such things.Kuwepo kwa Mahakama ya Kadhi hakutaibadilisha Tanzania eti ni kuwa ni nchi inayoongozwa na Sheria za Waislam la hasha. Tanzania itabaki ni nchi inayoongozwa kwa katiba ya nchi na nchi isiyokuwa na Dini yoyote ile iwe Dini ya Kiislam au Dini ya Kikristo acheni uoga. Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania iwaruhusu Kisheria Waislam waanzishe Mahakama yao ya Kadhi bila ya kipingamizi wala kuwazuia haki zao kwa muujibu wa sheria za nchi . Huo ndio ushauri wangu asanteni.
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa kesi hizo hizo za Waislam kwa sasa zinashughulikiwa na mahakama hizi hizi zilizopo na zimekuwa na gharama kubwa kwani inabidi. Mahakama itafute ushauri kutoka kwa Masheikh ambao mara nyingi huajiriwa na RITA na gharama za kuwalipa kwa ushauri si ndogo na ia hupoteza muda. Labda tu Muislam aukane Uislam wake ndio kesi za mirathi huhukumiwa kisheria za kiserikali.
Sasa wewe kwa uunguani wako unafikiri kuwa mahakama za kadhi zitaongeza gharama. Ni kinyume, mahakama za kadhi zitapunguza gharama na msongamano wa kesi mahakamani.
Umeongea vizuri sana, na hapa ndiyo root causes ya tatizo lenyewe. Kwamba mahakama ya kadhi ni kwaajili ya waislamu tu. Kwamba wakiristu haiwahusu kabisa.
Sasa kama ni hivyo kwanini basi wakiristu na watu wengine wasiohusika na mahakama ya kadhi wagharamikie kuiendesha hiyo mahakama ambayo haiwahusu kabisa.
Mimi sina tatizo kama katiba itatambua uwepo wa mahakama ya kadhi. Lakini uendeshwaji wake na gharama zake uwe ni juu ya waislamu wenyewe.
Mpaka leo tunasikia malalamiko kutoka kwa waislamu wengi kwamba serikali iliwaundia BAKWATA. Kwanini tena leo mnataka serikali hiyo hiyo uwaundie MAHAKAMA YA KADHI?!
Hapa ndio kunapoleta mashaka makubwa
Mkuu hio wikipedia hata wewe unaweza kui edit ukaongeza mambo yako humo km alivyofanya huyu mchungaji Ishmael na hio blog yake mbuzi.
Ukitaka kujua idadi ya Waislamu Tz Nenda kwa msajili wa vizazi na vifo ukakusanye Data ndipo utagundua kuwa Waislamu Tz Wamezidi 60% na wanazidi Kuongezeka.
35% of the population of the mainland (Tanganyika) is Muslim while 99% of the island of Zanzibar is Muslim. Islam came to Tanzania in the 9th century CE.
The earliest evidence of Islam in East Africa is the foundation of a Musjid in Shanga on Pate Island estimated from around 830 CE. The oldest intact building in East Africa is the Kizimkazi Musjid in Zanzibar dating from 1007. Islam was widespread in the Indian Ocean area by the 14th century.
Islamic Focus - Islam in Tanzania
Constitution is not support such things.