Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
7,090
2,000
Sasa hivi jina la Tundu Lissu lina pepea kwenye mmmedia karibu zote kama mvua za masika.

Wengi tulisikitishwa na jaribio la kumaliza maisha yake, na waliotekeleza hilo bado wapo, hawajulikani.

TL amshukuru Mungu kwa kupona na kuweza kuelezea mkasa ule.

Tatizo la Lissu ni mdomo wake, hautulii!

Waswahili husema mdomo uliponza kichwa.

Waliotaka kumwua wapo, na kwa hali yoyote wameshika mpini, Lissu kashika makali.

TL namshauri awe mpole, mdomo utulie maana huko aliko Ulaya ni makazi ya muda tu, wanaomsaidiabila shaka watamchoka.

Na akirudi nyumbani atakutana na marafiki kwa mahasimu wale wale.

Lissu narudia, mdomo uliponza kichwa.
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,206

Lissu narudia, mdomo uliponza kichwa
Ushauri huu kampe kichaa wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
76,036
2,000
Sasa hivi jina la Tundu Lissu lina pepea kwenye mmmedia karibu zote kama mvua za masika.

Wengi tulisikitishwa na jaribio la kumaliza maisha yake, na waliotekeleza hilo bado wapo, hawajulikani.

TL amshukuru Mungu kwa kupona na kuweza kuelezea mkasa ule.

Tatizo la Lissu ni mdomo wake, hautulii!

Waswahili husema mdomo uliponza kichwa.

Waliotaka kumwua wapo, na kwa hali yoyote wameshika mpini, Lissu kashika makali.

TL namshauri awe mpole, mdomo utulie maana huko aliko Ulaya ni makazi ya muda tu, wanaomsaidiabila shaka watamchoka.

Na akirudi nyumbani atakutana na marafiki kwa mahasimu wale wale.

Lissu narudia, mdomo uliponza kichwa.
Ubaya lazima usemwe ili dunia ielewe na iukomeshe , hii ndio maana Lissu anazidi kuchanja mbuga , hii ndio njia pekee ya halali ya yeye kuwa salama na kuheshimiwa , dunia lazima iambiwe uharamia wa Tanzania ambao miaka yote ulifichwa .

Shukrani sana Mh Lissu kwa kuitoa matongotongo Dunia kuhusu Tanzania , kwa kuwataja wahusika wa uchafu kwa majina yao yote matatu
 
Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
2,272
2,000
Ushauri wako waweza kuwa mzuri lakini unaweka serikali (yenye mkono mrefu) Ni dhaifu kwamba imeshindwa kuwabaini wahalifu na Bado itashindwa kumlinda Lissu.

Which is not true serikali ikiamua kumpa Lissu ulinzi wa kutosha hao watesi wake hawayopata nafasi.
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
7,090
2,000
Ushauri wako waweza kuwa mzuri lakini unaweka serikali (yenye mkono mrefu) Ni dhaifu kwamba imeshindwa kuwabaini wahalifu na Bado itashindwa kumlinda Lissu.

Which is not true serikali ikiamua kumpa Lissu ulinzi wa kutosha hao watesi wake hawayopata nafasi.
Mkuu serikali ni dude kubwa, ila sidhani kama vyombo husika havijui kilichojiri.

Ndio maana ushauri kwa Lissu ni kuwa na akiba ya maneno.
 
Ibambasi

JF-Expert Member
Jul 25, 2007
8,377
2,000
Sasa hivi jina la Tundu Lissu lina pepea kwenye mmmedia karibu zote kama mvua za masika.

Wengi tulisikitishwa na jaribio la kumaliza maisha yake, na waliotekeleza hilo bado wapo, hawajulikani.

TL amshukuru Mungu kwa kupona na kuweza kuelezea mkasa ule.

Tatizo la Lissu ni mdomo wake, hautulii!

Waswahili husema mdomo uliponza kichwa.

Waliotaka kumwua wapo, na kwa hali yoyote wameshika mpini, Lissu kashika makali.

TL namshauri awe mpole, mdomo utulie maana huko aliko Ulaya ni makazi ya muda tu, wanaomsaidiabila shaka watamchoka.

Na akirudi nyumbani atakutana na marafiki kwa mahasimu wale wale.

Lissu narudia, mdomo uliponza kichwa.
Bora wewe kamanda umesema ukweli mtupu. Ukitaka kujua kuwa kishachokwa tazama tu jinsi video yake ya kuomba ilivyosambaa.
 
Ibambasi

JF-Expert Member
Jul 25, 2007
8,377
2,000
Ubaya lazima usemwe ili dunia ielewe na iukomeshe , hii ndio maana Lissu anazidi kuchanja mbuga , hii ndio njia pekee ya halali ya yeye kuwa salama na kuheshimiwa , dunia lazima iambiwe uharamia wa Tanzania ambao miaka yote ulifichwa .

Shukrani sana Mh Lissu kwa kuitoa matongotongo Dunia kuhusu Tanzania , kwa kuwataja wahusika wa uchafu kwa majina yao yote matatu
Nyie mmejificha kwenye keyboard mwenzenu njaa, baridi vinamtandika mpaka kaanza kuomba. Njaa haina ukamanda. Arudi tu home
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom