Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu

Mkuu serikali ni dude kubwa, ila sidhani kama vyombo husika havijui kilichojiri.

Ndio maana ushauri kwa Lissu ni kuwa na akiba ya maneno.
System za serikali zote duniani zipo complicated na zinafanya kazi na hata kuwa na documents ambazo ni siri. Sasa ukijidai kilaza kufikiri serikali ni mtu mmoja au kikundi cha watu 5 unaowajua ndo unaishia kuingia matatani
 
Tatizo la Lissu ni ubishi na ndiyo maana wenzake wanataka kummaliza ila yeye anasingizia CCM wakati ukweli ni kwamba wenzake ndiyo wanaotaka kumzima kwa kiherehere chake.
 
Back
Top Bottom