ushauri wa bure kwa ruttashobolwa

ushauri wa bure kwa ruttashobolwa

Kumbe hata course hizi huwa unafundisha!?? nilidhani ni phyics na bios logos pekee

alokwambia gfsonwin ni ticha nanI? kwa taarifa yako haka ka bibi ni kigarula kinaisha tandale kwa ali maua.
 
Last edited by a moderator:
Leo shuzi limepata mjambaji...
Bishanga kaona afunguke live bila chenga

nakereka kuona blaza anachoreka,inauma aisee,halafu mtu mwenyewe eti Chimbuvu,kha! si unakajua haka kajamaa? ni kakaanga samaki nchanga stendi mtwara.
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe msiri wangu.
Nitakupa lidandasi.
Utatoaje siri za bosi wako.

hivi ni kweli ndugu yangu ulimwendea makorora ili umpumbaze umrudie asubuhi yeye akuangalie tu? aisee?
 
Yani shosta gfsonwin hapa ndo mwisho wa reli.
Wanaume wa humu wamezidi kutuonea.
Anajifanya ananiita mimi mbaya kumbe ananitaka kijanja.
Nitampa zongo mwana kwenda,kila apitapo haeshi kenda.

chezeiya wahaya wewe,ushawahi sikia sehemu inaitwa "Ruzinga omubasimba?"
 
Wape vidonge vyao.wakimeza wakitema shauri yao,mtoto wa kike anapigwa na mto wa kulalia,


Na yeye alivokuwa ananichakaza?
Kanitoa kwetu sina doa hata moja.
Leo hii nimekuwa kama Chui.
Akhuuu
Na aende tu,ampatae ampate.
 
Naomba umtake radhi mpenzi wangu or else patachimbika humu..onyo la kwanza

hujipendi wewe,mke wa mtu haramu ujue,halafu mtu mwenyewe mbabe rutta,atakurestisha in pisi ujue.
 
u



Masikini kijana wa watu,nakuhurumia kweli,
laiti ungejiona unavyotia huruma kwenye kile kichupa
alichokificha uvunguni upande unaoelekeza kichwa
na machozi yanavyokutoka ndani ya hicho kichupa,,
we mwache wala usimstue,mpaka auze kiamba cha baba yake.
 
Back
Top Bottom