Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Wapi dictionary?
"kajani katakako kupaka mavi huwa kanakuawaga kameinama"msemo huu umetokana na logic ile ya tabia ya kujisaidia vichakani,kuwa unapojisaidia kichakani juu ya majani kunauwezekano wa jani lilo kandamizwa na kinyes likafyatuka na kukupaka kinyes.ni sawa na Bishanga kumfananisha na kajani ambako kalikua kameinama sasa kanafyatuka na kumpaka mtu kinyes.upo hapo?
Last edited by a moderator: