ushauri wa bure kwa ruttashobolwa

Madame B wala hili linalojiita bepari la kihaya lisikuwazishe, unampiga nuksi ya mayai viza na mavi baaasi. kutwa kucha atakuwa anahemea chai ya rangi na vitumbua kwako lol!

Yani shosta gfsonwin hapa ndo mwisho wa reli.
Wanaume wa humu wamezidi kutuonea.
Anajifanya ananiita mimi mbaya kumbe ananitaka kijanja.
Nitampa zongo mwana kwenda,kila apitapo haeshi kenda.
 
Last edited by a moderator:
Nawasikiliza,ikifika hatua ya kuja kwangu,I'm here

Yani umekaa kama vile paka alieona nyama jikoni.
Muda wote makucha umeyatanua.
Utajibeba mwaka huu mimi ndio Madame B,ukisikia mwingine ujue baba yangu alizaa nje.
Hapana chezea hapa.
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi umeamkaje?asante kwa penzi motomoto la jana,aisee sina la kusema hapo mamaaa

Yani umekaa kama vile paka alieona nyama jikoni.
Muda wote makucha umeyatanua.
Utajibeba mwaka huu mimi ndio Madame B,ukisikia mwingine ujue baba yangu alizaa nje.
Hapana chezea hapa.
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi wangu Madame B jmn naomba usijaribu hata kuigusa sumu,hawa wanakuonea gere kwa sababu niliwatoa ktk eneo langu walilovamia madale tukavunjavunja na nyumba zao,sasa naona bado wana hasira,mamaa njoo ulale kifuani kwangu,achana nao hao,waache waseme lakini mimi kwako nimefika,na sa hv nasubiri tu ukaniogeshe mamii,i luv u


Mpenzi mbona sielewi hapa?
Mbonafuatwa fuatwa jamani?
Nitakunywa sumu nife nimechoka kusema.
Baby utanikosa.
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi umeamkaje?asante kwa penzi motomoto la jana,aisee sina la kusema hapo mamaaa

We nawe mpenzi wangu umezidi kusifia mautamu yangu ndo mana midume udenda unawatoka.
Ufanyage siri siku ingine Chimbuvu wangu!!
Akina tedo hawanaga simile.
Nina hofu hata huko mbeleni nitakapokupa haramu utaja kutangaza humu.
Ficha aibu zetu mpenzi.
Nadhani umenielewa.
Asante mpenzi.
 
Last edited by a moderator:
Naomba umtake radhi mpenzi wangu or else patachimbika humu..onyo la kwanza


Piga chini hii ndito Madame B,juu ya nini inakuweka roho juu mtoto wa kiume.
Kwanza we hendisam,elimu unayo,fuko benki limetuna, ndugu mabilionea kama bishanga unao kibao,tabu ya ninini mwanamke mwenyewe anakugeuza chumba cha gesti aingie atoke aingie atoke,mmwage bana wanawake kibao mjini.
Na kwa taarifa yako jana kaonekana hindu mandal sijui anaumwa nini. Kibaya zaidi mashoga zake kina Zinduna Kongosho King'asti BADILI TABIA gfsonwin sweetlady na Mamndenyi wanamharibu,kutwa kucha ni kusogoa tu kwenye simu na kupeana umbea,utapata mke kweli hapo?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom