ushauri wa bure kwa ruttashobolwa

Aanhaaa ndio maana tai hukusanyika ktk mzoga kwa sababu ndio chakula chao?
sawa mpenzi ntafanya hivyo,sitatoa siri zetu tena ndio maana sasa hadi akina Bishanga Baba V hawaishi maneno

We nawe mpenzi wangu umezidi kusifia mautamu yangu ndo mana midume udenda unawatoka.
Ufanyage siri siku ingine Chimbuvu wangu!!
Akina tedo hawanaga simile.
Nina hofu hata huko mbeleni nitakapokupa haramu utaja kutangaza humu.
Ficha aibu zetu mpenzi.
Nadhani umenielewa.
Asante mpenzi.
 
Last edited by a moderator:

Hakyanani...duu...!!!
 
u

Masikini kijana wa watu,nakuhurumia kweli,
laiti ungejiona unavyotia huruma kwenye kile kichupa
alichokificha uvunguni upande unaoelekeza kichwa
na machozi yanavyokutoka ndani ya hicho kichupa,,
kwi kwi kwi kwi.....Nasubiri siku atakapokuaj na sredi mpya ya kuomba ushauri..
 
Utangoja milele na utak.....fa bila kelele ,pole sana jamaa aliyekuwa anakuweka mjini ndio hivyo tena katangulia,njoo tukupe hata uhausiboy basi

kwi kwi kwi kwi.....Nasubiri siku atakapokuaj na sredi mpya ya kuomba ushauri..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom