Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
- Thread starter
- #121
Resident magistrate court kisutu.Kwako: tedo Bishanga,na wote mnaomzengea my sweetheart Madame B
from: Chimbuvu & Madame B
date: 27/11/2012
kwa kweli tumekuwa tukizisikia tuhuma nyingi hasa za kutuchafua na zenye nia ya kuharibu mahusiano yetu kwa muda mrefu,tumesikitishwa sana na taarifa za St. Paka Mweusi tedo na wengineo wakidai uhusiano wangu na Madame B ni batili,na wala hawakuishia hapo wametupaka matope kwa kuleta imani za kishirikina katika mahusiano yetu na kwa kuthibitisha hilo ni tukio la St. Paka Mweusi kukutwa nje ya nyumba yetu leo asubuhi akiwa uchi wa mnyama na shanga pamoja na tunguli,na baada ya kumhoji alitutajia majina ambayo kwa usalama zaidi hatutaweza kuyaweka hadharani,kama hiyo haikutosha mmezidi kumuandama barafu wa moyo wangu Madame B kwa maneno ya kashfa,ninachoshukuru ni kuwa asali wangu amefundwa na hawezi kuwajibu hovyo huwa ananiletea taarifa zote.
Kwa kweli tumechoka kwa hali hii,na kama kuna hatua ambayo tunaweza kuichukua ya juu zaidi tupo tayari,ka sababu uwezo tunao,sababu tunayo na nia tunayo na hakika tutashinda.
Wenu katika kujenga taifa
Chimbuvu & Madame B
Mbele ya RM klorokwini
jamhuri vs chinbuvu:
charge: kutorosha mke wa mtu.
Pp: mtukufu hakimu naomba utoe adhabu kali iwe fundisho kwa wakware wote.
Koooooooti...tunasubiri hukumu.
Last edited by a moderator: