Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
tena ukae kimya wewe!
Usiniletee kibesi wewe.
Hii ni Supu ya mbwa,kunywa ikiwa ya moto.
tena ukae kimya wewe!
hata uso wa haya huna? nakushangaa!
una akili sana wewe!"kajani katakako kupaka mavi huwa kanakuawaga kameinama"msemo huu umetokana na logic ile ya tabia ya kujisaidia vichakani,kuwa unapojisaidia kichakani juu ya majani kunauwezekano wa jani lilo kandamizwa na kinyes likafyatuka na kukupaka kinyes.ni sawa na Bishanga kumfananisha na kajani ambako kalikua kameinama sasa kanafyatuka na kumpaka mtu kinyes.upo hapo?
na defend territory ya rutta,kha!
Siku yenyewe wala haiko mbali...
Halafu naona kama Baba V kapewa mlungula....hebu ingilia kati mkuu.yaani watu wafanye uzanga tuwaangalie tu,hivi we hujui bishanga ndo mwenyekiti wa kamati ya maadili chit chat? ebo!
we ndo nakutafuta! you are finished1
Kama hujaniacha, Mamzalendo ni nani kwako?
Ni mke mwenzio khaa!
makubwa! Hivi rutta akisikia unaongea maneno haya atasemaje?