Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,088
- 8,221
Umebaki wewe tu ambaye hauna gari.
Hapa nimepaki VX 8 nakula nyama choma.
Hapa nimepaki VX 8 nakula nyama choma.
Jf kila mtu ni tajiri kila mtu amesoma kila mtu anaishi mjini kila mtu ana ndinga ya maana hahaha jf bana!