bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,140
- 5,286
Watu weusi bado mpo kweny mwanga wenu wa asili yani giza mtu akikosea spelling moja tu imekuwa gumzo dah poleni sana.
Watu weusi bado mpo kweny mwanga wenu wa asili yani giza mtu akikosea spelling moja tu imekuwa gumzo dah poleni sana.
Mie huo msemo esp hapa jf unanishangazaga sana...hv hayo magari yanayopita barabarani watu wake wanaishi sayari ipi??? Yaani watu wan mind za giza balaa...hao waliomaliza degree zao wanaishi sayari ipi? Si humu humu?
Hizo nyumba mnazoona watu wamejenga bungalows wanaishi jupiter au?
Yaani mie nashangaaga balaa... !
Kifupi jf kuna matycoon..kuna watu wanaishi kwenye mijumba mizuri na wanatembelea ndinga kali...wapo sana tu
Mie hata leo ww useme sijui unaendesha sijui ranger hata kama unadanganya its up to you unajibebesha mzigo mwenyeweee....hata useme una 2b kwa account n huna unajichosha mwenyewe as mie sidhuriki na kuathirika na utajiri wakoKweli kabisa mimi nilishajikatalia siku nyingi siji kubeba dhambi ya kujidanganya mwenyewe sababu ukisema una gari na hauna maana yake unajifanganya mwenyewe na ukisema una phd na hauna unajifanganya mwenyewe na dhambi haibebwi kirahisi hivyo, hela inatafutwa tuipambanie sa mtu utatembea kwa mguu na kwene midaladala mpaka lini ? aisee me ndio huwa sikubali hata iweje
Ndoto ambazo yeye kashindwa kuzifanikishaWazazi ni changamoto.Imagine anataka uishi ndoto zake!
Mtu msomi anaandika diproma badala ya diplona huyu ni darasa la saba BMkuu inawezekana wengi wana hivyo vitu na mimi huwa sion sababu ya mtu yeyote kufanganya kama ana gari na hana hilo gari sababu hivyo vitu vyote wanavyosema vinatafutika sikuiz gari hata milion 4 unapata mkuu sa mkuu ukiamua kuitafuta hela milion nne itakushinda ??
Sawa mtu mweupeWatu weusi bado mpo kweny mwanga wenu wa asili yani giza mtu akikosea spelling moja tu imekuwa gumzo dah poleni sana.


🤣🤣🤣Ndoto ambazo yeye kashindwa kuzifanikisha
Eti mia hamsini cash bank
Mara Diproma
Wee dogo achia shuka la Shem, amka ukatafute kazi hata ya kubeba zege, hizo ndoto unazojiotesha hapo bed, waja kujitundika buure, hakuna kirahisi duniani
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app


nimeshindwa jizuiaWe acha tu mkuunimeshindwa jizuia
Mtu msomi anaandika diproma badala ya diplona huyu ni darasa la saba B
Mie hata leo ww useme sijui unaendesha sijui ranger hata kama unadanganya its up to you unajibebesha mzigo mwenyeweee....hata useme una 2b kwa account n huna unajichosha mwenyewe as mie sidhuriki na kuathirika na utajiri wako
Duh upo series kabisa kwa utawala huu wa JPM ulihifadhi 149,000,000.00 bila TRA na BOT kukuuliza au Task force kuhoji ulikozipataAnafahamu kuwa nina cash bank sio chini ya mia hamsini milioni nje ya vitega uchumi nilivyonavyo. Nimeamua nikueleze haya nikiwa hai imekuwa ni ndoto yake siku nyingi. wanaJF nishaulini nyie mungemujibu vipi? binafsi nilimwambia ninatafakari.
Changamkia hela hyo mamaEti mia hamsini cash bank
Mara Diproma
Wee dogo achia shuka la Shem, amka ukatafute kazi hata ya kubeba zege, hizo ndoto unazojiotesha hapo bed, waja kujitundika buure, hakuna kirahisi duniani
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Diproma Vs diplonaMtu msomi anaandika diproma badala ya diplona huyu ni darasa la saba B




