Hellow!
Ushauri huu ni mzuri, Hawa wastaafu wa Tra kwa mfano, wakistaafu, wafungue pia biashara zile zile walizokuwa wakiwabana wenzao walipe, nao iwahusu.
Ameshauri wastaafu serikalini ifike mahali wakubali kustaafu, Serikali ina washauri wake, wastaafu kujileta mbele ya viongozi wetu kwa gia ya kutoa ushauri hii hakubaliki.
Amewashauri wakafungue biashara na kulipa Kodi kihalali Ili nchi ipate mapato.
Ushauri huu naona ni mzuri maana Hawa wanasiasa wana ukwasi mkubwa kuliko Hawa matajiri walipa Kodi tuwajuao.
NB: Ujumbe huu haumuhusu Mzee Warioba, Butiku na wastaafu wengine wenye kushauri kwa haki.
Swali: Ushauri huu wa Askofu mmeupokeaje?
Nawasilisha 🙏