ushauri wa advance pcb kwa dar

ushauri wa advance pcb kwa dar

muoga wa jf

Senior Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
198
Reaction score
225
Habari wakuu,,,,wakuu naombeni ushauri wenu nasoma pcb shule mojawapo dar hivyo nlkuwa naomba ushauri jinsi ya kusoma na kufaulu vema hasa kwa kuwa mimi niko day school,,
 
Tia misuli dogo.. ! Yaani mida hii ndo yakusoma we unang'ang'ana huku JF ?! Doooo salaleeee
 
Pinda mgongo tu wala usiwe na hofu, ukijituma sana halafu usiwe muoga kuuliza maswali pale unapokwama. Tafuta past papers nyingi ili uzifanyie kazi. Ukiweza kufanya hivyo Utaibuka na division one na kutabasamu gego mpaka gego. Kila la heri na Baraka. Shule si ngumu kihivyo ila watu hawataki kujituma na wengi huwa hawana ratiba ya kujisomea.

Habari wakuu,,,,wakuu naombeni ushauri wenu nasoma pcb shule mojawapo dar hivyo nlkuwa naomba ushauri jinsi ya kusoma na kufaulu vema hasa kwa kuwa mimi niko day school,,
 
piga msuli wa kufa mtu hasa usiku kukiwa na utulivu, achana au punguza kutumia hizi social media na mambo mengine yanayopoteza muda wa kusoma labda kwa weekend maana kupumzika ni vizuri pia.
Discussion kwa sana, tafuta vitabu vya hayo masomo usolve sana maswali, hakuna maswali mapya huwa yanajirudia tu, mfano biology yote utaikuta ndani ya BS, physics ndio changamoto kidogo maana ina vitabu vingi.
Twisheni kwa Dar ni za kumwaga so uwe unajichanganya ukiwa likizo kwa kina Unga, Ngaiza, Mood physics, na wengine.
Soma kwa target, angalia format ya mtihani na ujue kila section inahitaji usome topic gani, kisha chagua topics za kukuza kiasi kwamba swali lolote halichomoki, na topics zilizobaki we soma tu for emergence
 
pepa 1 zote soma in dip pepa 2 bio andika sana chemia 2 ukiweza master topic ya soil topic ya orgnic utasoma wakina polymer 4 incase soil ikzngua na topic nyngne za pepa 2 chemia make a best choice ya unazoweza master pepa 2 unaweza fanya vzur kama ukfanya best selection phy me nakaa pemben m2 wa pcm atakupa ushaur au wa pcb aliyeiweza all de best
 
Likizo uwe unaenda twition, phys kwa mudi au mgote, kemia kwa ngaiza au mandia na baoloji kwa mandia na wengineo watakusaidia to some extent. fanya mswali mengi sana.......

nb:USISOME VITU VIGUMU AMBAVYO HAVIPO KWENYE SILABASI YENU, UTAPOTEZA MUDA WAKO BURE, SOMA VINAVYOKUHUSU TUUU.
 
Back
Top Bottom