Ushauri: Vyuo vikuu vibaki vitano tu nchini

Elimu bora inaanzia Primary na Secondary,sasa kama uku chini wanaandaliwa ovyoovyo;hiyo quality products utaipata wapi?
Chuo Kikuu ni ending point tu lakini inapaswa mkazo uanzie chini,shida siyo uwingi wa vyuo kwasababu ata Lecturers wengi wanaofundisha hivi vyuo vingine wanatoka hapohapo UDSM!!
Tupunguze sifa za kijinga kwenye utoaji wa Elimu, Wanafunzi wa Tanzania wengi ni incompetent haijalishi kasoma sijui UDS,UDOM et al kwasababu ya msingi mbovu wa elimu.
 
Hakika anguko la elimu linaonekana kupitia uwezo wako wa kufirikiria.

Huwazi maboresho bali unawaza udhibiti.

Nchi ina vilaza hodari kweli hii
 
kwani nani kakuambia certificates na diploma siyo vigezo?shida nyinyi mliozaliwa juzi hamjui tulikotoka.ulizeni wahenga kama sisi tuwaambie wapi tulikotoka.msidandie treni katikati.enzi zetu kulikuwa na kitu kinaitwa qualiffying test kwa form four ambao walikuwa makazini walichukuliwa na kujiunga na universities.baada ya kuiharibu elimu ndo mmekaririshwa mpaka upitie fomu six ndo uende vyuo vikuu siyo kweli fuata hayo mawazo.tunachoangalia ni quality na si quantity.
 
Ati "incompetence products".

Mbona mwenyewe unaonesha ni kiazi tu.

BTW:Unarudia enzi za akina Mpigamsuli,Pery na ADILI SAMALU.

Na wewe ukikua utaacha tu.
 
Mzumbe
Muhimbili..
IFM, IAA, CBE, TIA wahasibu, Bankers, Afisa Ugavi asilimia kubwa ni product za hivi vyuo.
Ardhi ina Ma Injia wake huku mtaani.

Mtoa mada sijui umewaza nini? Au pengine useme kila mtoa uwe na vyuo at least vinne/ 5
Kcmc na bugando ongeza kaka
 
Hii nayo inaingia kwenye list ya nyuzi za kijinga kwa huu mwaka.
 
namimi nampango wakufungua chuo kikubwa TCU watupilie mbali hayo maoni
 
Ukute hata mtoa mada hana elimu yoyote ya maana alafu kupata watu wazembe na wasiojituma sio kazi ya chuo Hayo ni malezi toka ngazi ya chini kabisa. Unataka lecture ndio afundishe uadilifu kazini wakati wanaosoma vyuo ni watu wazima tayari
 
Ukute hata mtoa mada hana elimu yoyote ya maana alafu kupata watu wazembe na wasiojituma sio kazi ya chuo Hayo ni malezi toka ngazi ya chini kabisa. Unataka lecture ndio afundishe uadilifu kazini wakati wanaosoma vyuo ni watu wazima tayari
Lecture?
 
Tunahitaji vyuo vingi zaidi
 
Mbona kama umesoma kwenye vyuo hivyo ? "Incompetence products"
All in all learners need environmental improvisation & not anything else.
 
.... hata MUHAS? Think twice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…