Ushauri: VETA au kurudia kidato cha nne?

kidodosi

JF-Expert Member
May 1, 2013
2,290
1,379
Salaam wa ndg!

Nina kijana wangu wa kiume amemaliza kidato cha mwaka huu ila amepata daraja la 4 points 27, katika shule ya kata kunduchi beach.

kwa kifupi alikuwa anamaendeleo mazuri akiwa shule ya msingi na hadi alipofika kidato cha 2 , kuanzia hapo maendeleo yake yalishuka sana na akawa na utovu wa nidhamu shule na kimasoma ila akiwa nyumbani ni mtoto mtaratibu sana na nidhamu ya hali ya juu.

Sasa ndg zangu wana jamvi naombeni ushauri wenu kwa kijana wangu nimpeleke VETA au arudie kidato cha 4 ili kwamba apate alama za kumpeleka O'LEVEL?

Nimemuuliza kwa jinsi matokeo yalivyokuwa mabaya atafanyaje kujiendeleza? AKAJIBU eti anataka kuwa Polisi.
 
arudie form 4 agundue nini sasa mzee alaf inaonekana unapesa sana eeeeee

mpeleke kijana veta akasome apate ujuzi wke ajiajiri mbona short and clear

au uko na mtaamo kma kienda a level ndo atakuwa mcharoo

au kama anatka awe polis mfnyie mchakato wa jkt faster
 
Pole sana...ulikosea sana kumpeleka kata...shule mbovu ht mtu akiingia na akili anatoka kapa kule..hakuna miundo mbinu ht walimu...cheap is expensive...
Anaonekana shule hataki tena ht ukimrudisha form four...ingawa ingekua vzr zaidi angerudia tena form 3 ili apate tokeo zuri...hapo wito wa kusoma hana .peleka veta..au ht huo upolisi anaoutaka...km nafasi ataipata
 
Daaa,, POLISI jamani!!! Ndo kimbilio la waliokwama kwenda A level! Haya twendeni tu mwishowe tutafika! Mtoto wa dadangu naye kapiga four ya 26 kumwuliza yeye anasema anataka JWTZ! Kazi kweli kweli!
 
Salaam wa ndg!

Nina kijana wangu wa kiume amemaliza kidato cha mwaka huu ila amepata daraja la 4 points 27, katika shule ya kata kunduchi beach.

kwa kifupi alikuwa anamaendeleo mazuri akiwa shule ya msingi na hadi alipofika kidato cha 2 , kuanzia hapo maendeleo yake yalishuka sana na akawa na utovu wa nidhamu shule na kimasoma ila akiwa nyumbani ni mtoto mtaratibu sana na nidhamu ya hali ya juu.

Sasa ndg zangu wana jamvi naombeni ushauri wenu kwa kijana wangu nimpeleke VETA au arudie kidato cha 4 ili kwamba apate alama za kumpeleka O'LEVEL?

Nimemuuliza kwa jinsi matokeo yalivyokuwa mabaya atafanyaje kujiendeleza? AKAJIBU eti anataka kuwa Polisi.
Rekebisha andiko lako mkuu
 
Peleka beta mzee..unajuwa watu wamekalili sana kuwa I'll uwe msomi au uende chuo kikuu ni lazima MTU apitie A.level,lakini kwa mtazamo wangu mtoto akifel form four ila akawa na matokeo ya matumaini ni bora ukampeleka chuo akaanza cheti mwaka mmoja then dip, wale ambao waliendelea watamkuta dip.akiwa mwaka wa mwisho na akiendelea vizuri wale walioingia degree moja kwa moja watamuacha mwaka mmoja lakini kwa uzoefu wa wamoso na kuajiliwa wako ndio atakuwa na nafasi kubwa...
Nakushauri mpeleke chuo akipendacho au hiyo veta
 
Pole sana...ulikosea sana kumpeleka kata...shule mbovu ht mtu akiingia na akili anatoka kapa kule..hakuna miundo mbinu ht walimu...cheap is expensive...
Anaonekana shule hataki tena ht ukimrudisha form four...ingawa ingekua vzr zaidi angerudia tena form 3 ili apate tokeo zuri...hapo wito wa kusoma hana .peleka veta..au ht huo upolisi anaoutaka...km nafasi ataipata
Kata hukohuko kuna watu wanafaulu
 
Usije ukampeleka mtoto arudie form4 yan possibility ya mtu kufaulu akirist n ngumu kuliko kwenda kuweka ujuzi kichwan asee utampotezea muda na hela yako so mpleke veta au vyuo vngne ambazo znachukua pass(D) 3mpka 4 ili apate ujuz ambao utamtoa apo alipo "kama alishndwa soma kwenye mfumo rasmi wa elimu je ataweza soma kwenye mfumo wakujisomea ??" Naafaulu
 
Huko kuna nini maana nina mjomba KE yeye ana IV point 26 je kwanaweka veta wanjifunza nini?na ada zao zikoje?
 
Fanya iv kaaa nae muulize anapenda kufanya kazi kan kutoka moyon mwake ili atakayo chagua ww nenda pale veta utauliza hyo corz alaf utapewa details zote ila pia hzo point inaaana ana pass zote na f moja so anawezq ata enda vyuo vya serekali kusoma kama vile "nit, ifm, cbe , vyuo vya ualimu hata vya afya pale cbe wameshaanza udahili ....ada zao nenda fka kwenye vyuo ivyo nautapata taarfa
 
Ushauri mzuri sana
 
Back
Top Bottom