Ushauri ushauri Kuhusu RAV4 1st Gen aka Mkulima

Ushauri ushauri Kuhusu RAV4 1st Gen aka Mkulima

Rav 4 ukitaka ife labda injini isiwe na oil hata kidogo.kwa. vile unpenda mitulinga kaz kaz.pale be forward select country uk. Kule utapata vyuma manual. Mbonq corola axio anazo manual nzuri tu. Au probox manual nayo zipo na zinapiga kazi balaa.
 
Daah si bora ununue Mahindra pick-up double au single cabin kwa kaburu hapo bei nzuri na unakuta gari ya 2021 rand 110,000 na kodi yake ndogo wauzaji wa parts wahindi wapo daslm kununua magari machakavu sana mnalithisha vitu vya hovyo kwenye familia..
2026 unataka kutoa dollar kwa ajili ya gari ya 1995 daah labda ingekua truck gari ya kutembelea sio kweli hata kama ni shamba bhana...
 
Back
Top Bottom