Corolla, Rav 4, Mark II zina-share DNA.Jidanganyeni ila hakuna chuma ya zamani inayoishi leo na itaendelea kuishi hata kesho kama corolla ,mali ya baba ,sasa ninayo mimi
Corolla, Rav 4, Mark II zina-share DNA.Jidanganyeni ila hakuna chuma ya zamani inayoishi leo na itaendelea kuishi hata kesho kama corolla ,mali ya baba ,sasa ninayo mimi
Hiyo na suzuki vitara V4 ni tractor ndogo😂Watu wengi walikua nazo enzi hizo hasa wazee wazamani, na mm kama mkongwe nataka mwakani nichukue kwa ajili ya kwenda shamba.
Kwa nini usimvue tu mtu humu humu ndani mkuu..Nataka niagize Japan. Ila naona siku hizi zimekua adimu halafu bei imechangamka. Ila uzuri ni kwamba kodi yake sio kubwa sana. Sidhani kama inazidil mil 10
I prefer kuagiza Japan. Wavimba macho wanajua kutunza magari vizuri.Kwa nini usimvue tu mtu humu humu ndani mkuu..
Binafsi huwa nashindwa ku-justify kulipa hizo kodi. Sawa na kununua iST ya milioni 20.
Hata mimi pia. I prefer manual. Fun to driveHiyo na suzuki vitara V4 ni tractor ndogo😂
Manual ni nzuri zaidi, kwa upande wangu
Eeh! Inatufaa sisi wastaafu. Hatuna mambo Mengi😆😆Hiki chuma nakikubali sana. Japo imekaa kama za wastaafu.
Aaah! Kipendacho roho hula nyama mbichi. Akina subaru na crown tumewaachia vijana wa mjiniSi tunaenda mbele we unarudi nyuma.
Kuna suzuki escudo nomade baba😂😄Jidanganyeni ila hakuna chuma ya zamani inayoishi leo na itaendelea kuishi hata kesho kama corolla ,mali ya baba ,sasa ninayo mimi
Kitendo cha kuanza kuzitaja zote zinazoshare DNA ila ukaanza na corona mnyama ni heshima kubwa kwangu ,tafadhali ikikupendeza uwe rafiki yangu toka sasa .Corolla, Rav 4, Mark II zina-share DNA.
Hongera hiyo ndio gari kusotea na ya watu wanaojitafuta.....hata kiki time nzuri piaHii gari imekaaje wataalam wa magari maana mwaka ujao nataka nivute hii chuma. Kati ya Automatic ama Manual gear ipi ina fuel consumption nzuri na pia ipi nzuri kwa masafa hasa sehemu korofi.
Nimeambatanisha na picha
View attachment 3521892View attachment 3521893
Ha ha haina tatizo mkuu.Kitendo cha kuanza kuzitaja zote zinazoshare DNA ila ukaanza na corona mnyama ni heshima kubwa kwangu ,tafadhali ikikupendeza uwe rafiki yangu toka sasa .
Napenda watu ambao wanautambua ukweli na wanaheshimu maoni yangu na mawazo yangu
Poa rafiki yanguHa ha haina tatizo mkuu.
Ahsante ila bado sijainunua. Next year if God wishes ntazama be forward kuagiza.Hongera hiyo ndio gari kusotea na ya watu wanaojitafuta.....hata kiki time nzuri pia
Gari nzuri sana ila infortaiment yake hasa kwenye dashboard ipo kizamaniHii gari imekaaje wataalam wa magari maana mwaka ujao nataka nivute hii chuma. Kati ya Automatic ama Manual gear ipi ina fuel consumption nzuri na pia ipi nzuri kwa masafa hasa sehemu korofi.
Nimeambatanisha na picha
View attachment 3521892View attachment 3521893
Ahsante kwa ushauri ila hizo sio gari type zangu. At least Suzuki EscudoKama unataka gari achana na model za kizamani.kachukue Five doors Suzuki jimmy nomande au jeep wrangler.Utatumia mpaka mjukuu .achana na magari ya kizee.
Kili time pia nzuri sana iwe engine vvti sio D4...!!Ahsante ila bado sijainunua. Next year if God wishes ntazama be forward kuagiza.
Shida yake moja ni mlio wa kiduku kwenye gear box, na sijui ni kwanini.Hii gari imekaaje wataalam wa magari maana mwaka ujao nataka nivute hii chuma. Kati ya Automatic ama Manual gear ipi ina fuel consumption nzuri na pia ipi nzuri kwa masafa hasa sehemu korofi.
Nimeambatanisha na picha
View attachment 3521892View attachment 3521893
Ni kwa gearbox zote manual na automatic cause nna mpango wa kuagiza yenye manual gearboxShida yake moja ni mlio wa kiduku kwenye gear box, na sijui ni kwanini.
kili time iko soft kidogo halafu hamna option ya manual gearboxKili time pia nzuri sana iwe engine vvti sio D4...!!