inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,771
- 22,575
chadema imepata umaarufu kupitia richmond,richmond ilkua 2005!?..si kwamba chagadema ilipata uungwaj mkono bure bali chuki kwa mkwere,hadu vikongwe wakaamuriwa kwenda kupiga kura au laa watatengwa..kama mfumo ulivyo media zikafanya kaziSince kina zitto waingie bungeni plus wangwe na mdee na slaa waliipaisha sana chadema kwa hoja zao murua ingawa walikuwa wachache sana na 2005 ndio uchaguzi wa mwisho cuf kuwa na nguvu bara hasa baada ya mahita kuuaminisha umma kuwa cuf ni chama cha magaidi, waislam wa siasa kali na hivyo kupelekea umaarufu wao kushuka hasa bara kulikojaa makafiri kwank nadanganya??? Na toka hapo bara nzima ikahamia kwa chadema na ndio maana nkasema 2005-15 hivyo sijui unataka kukataa nni mkuu