Ushauri: Upinzani ushughulike vipi na Lipumba

Ushauri: Upinzani ushughulike vipi na Lipumba

mkuu usijifanye ujui democrasia ya Waafrica ikoje kuanzia level ya familia vyakula vzr anakula baba wazung vzr wanakula watoto
Demokrasia ya Kiafrika kwenye mfumo wenye asili ya Kizungu inafanyaje kazi?
 
Huwezi kuelewa kwani tayari umeufunga mlango wako wa fahamu kwa ushabiki wa Ki-CCM.

Pale mnapojiona mpo sahihi kuliko wengine.

Ukitaka uone madudu mnayofanya nyinyi watu mnaojiita wanasiasa basi usiwe na ushabiki au mwanachama wa chama chochote ndio utaona ujinga unaoendelea nchi hii.

Kwa taarifa yako nyote mnatumika hamuwezi kujitofautisha na Prof.
 
Demokrasia ya Kiafrika kwenye mfumo wenye asili ya Kizungu inafanyaje kazi?
Ndio maana mifumo ya democrasia waliyoleta wazungu imeshindwa kuapply kwenye mifumo ya tamaduni zetu juu ya utawala sisi tunazo aina zetu za utawala mfumo wa wachache kutawala wengi tena kwa kipindi kirefu tena bila ya uchaguzi pia unatakiwa kujua democrasia hii imekuja Africa miaka ya 90 na nch nyng za Africa zimepata uhuru miaka ya 60 sasa jiulize kwa nn wazungu walete mifumo ya democrasia miaka ya 90 wakat wametawala waafrica toka miaka ya 1800? kwa nn democrasia ije baada ya wao kuondoka Africa ? je unadhani wangeleta democrasia hii kipindi wapo unadhani wangetutawala? wazungu wenyewe wanaiogopa democrasia ndio maana wameileta wakati wenyewe hawapo tena Africa

Gharama ya democrasia ya ukweli ni kubwa kuliko gharama ya vita ndio maana mpaka leo pamoja na chadema kujiita chama cha democry lakini Mbowe anafanya udikteta ndan ya chama
 
Huwezi kuelewa kwani tayari umeufunga mlango wako wa fahamu kwa ushabiki wa Ki-CCM.
Chadema mbona mmelivalia njuga LA CUF wakati CUF wenyewe wako kimya? Yaani nyie mna uchungu kuliko wenye CUF. Chadema naona mmekuwa wasemaji wa CUF!!!!!!
 
Dawa mahusi ya future ya UKAWA ni Maarim Sef kuhamia CHADEMA pamoja na wafuasi wake wote. Lengo la CUF Lipumba ni kumfukuza ktk muda mwafaka.

Hawezi kufanya kitu kama hicho yaani Maarim aende CDM ili Wakagombee pesa za ruzuku na CDM.
 
Hatuna la maana???? Hivi bila upinzani hayo maufisadu yote ambayo magu anayatumbua mngeyajuaje????
Lowasa mlituambia fisadi akawapa pesa mkaufyata mkamtangaza mtakatifu kwenye Vita ya ufisadi hamna mchango wa maana
 
Chadema mbona mmelivalia njuga LA CUF wakati CUF wenyewe wako kimya? Yaani nyie mna uchungu kuliko wenye CUF. Chadema naona mmekuwa wasemaji wa CUF!!!!!!
Kwa nini CCM ukweli uko mbali na nyie kila siku? CUF inawezekana wapo kimya, lakini wale watu wenu wa Buguruni wanabwabawaja kila siku kiasi kwamba midomo yao inataka kufanana ukubwa na zile katuni za "Chai jaba".
 
Ndugu siwez kukubishia coz ur junior nataka kukwambia mission ya chama chochote cha siasa ni kuongoza serikali for ur info Cuf tayali wameshatumia magari ya STK na ving'ora Zanzbar hayo ni mafanikio makubwa sana ya kisiasa kumbuka mafanikio hayo na Lipumba ameshiriki pia unatakiwa kujua kuna watu walikufa na wengine kukimbia nchi ktk harakat za kisiasa hasa CUF lipumba ni mwanasiasa aliyepata misukosuko ya serikali kuliko wanasiasa wote Tanganyika leo ingekuwa miaka ile ya 2000-2005 unadhani Lissu angeleta ujinga kwa Mkapa? acheni kuongea tu enz ya upinzani wa Cuf ulikuwj ni hatari sana kuliko leo chadema
Nimecheka sana uliposema Mbowe mpinzani duniani hakuna mpinzani mfanyabiashara na Africa hakuna mpinzani ambae ajaonja mahabusu au vipigo vya police

Wakati IGP ni Mboma jamaa wakisema wao ni ngangali mwenzao anasema hapa ngunguli.


 
Wakati IGP ni Mboma jamaa wakisema wao ni ngangali mwenzao anasema hapa ngunguli.


Rais Mkapa wazr wa fedha mzee wa mtakula nyasi IGP Mahita mzee wa ngunguli CDF Mboma utatokea wapi waulize wapemba na wanabuguruni ndio wanajua Mkapa vzr si hawa wapaka inna wa ufipa sidhani kama list hyo hapo juu Lissu pamoja na wenzie wangeleta ujinga wao wa mahakamani na mitaani

Ndio maana nawambiaga chadema nyinyi ni soft sana kujilinganisha na Cuf na Lipumba kwa mala ya kwanza Tanzania ilitoa wakimbizi wakati nchi aina vita leo lissu anatoka jela then hapo hapo mahakamani anatukana then mnasema hakuna democrasia then unakwenda kulala kwako mpaka asubui
 
Ndugu katika zone 4 za dunia kila zone kuna aina ya siasa zake kuanzia Asia,Wazungu, Waarabu na Waafrca so kila jamii inatafasri democrasia kwa maana yao wazungu hawana neno mpinzani waarabu wapinzani wanaita vyama vya kigaidi Asia hakuna wapinzani kabsa
Wazungu hakuna neno wapinzani coz vyama vyote vimewai kutawala so wanachogombea ni nani kuongoza serikali si kutawala kama ilivyo kwa Africa na ndio maana leo trump ambae hajawai kuwa hata mjumbe wa numba 10 leo ni rais je kwa democrasia ya Africa lingewezekana? mkuu usijifanye ujui democrasia ya Waafrica ikoje kuanzia level ya familia vyakula vzr anakula baba wazung vzr wanakula watoto
Umetoa maelezo mazuri sana. Eti Trump alikuwa mpinzani! Wengine wanadhani alikuwa kama wao analilia mikutano ya hadhara, tena katikati ya wiki, mchana!!!
 
izzo CHADEMA wamegundua CCM inalitumia Jeshi la Polisi kupambana na wananchi wasio hatia na mwisho wa siku wanadai wapinzani hupambana na Serikali wakati ukweli wa mambo ni CCM ndiyo inapambana na wapinzani wake kwa kutumia Jeshi la Polisi.
 
Hahahahahaha hv ukisema mwanasiasa jabari aliyebaki wa upinzani Tanganyika Lipumba ni number moja rudi maktaba kapekue ni mwanasiasa gani aliyeanzisha vuguvugu la kisiasa ambalo Dr Slaa alikuja kucopy na chadema kutake over 2010 - 2015 chini ya katibu mkuu Dr Slaa cjuh kama nafasi ya Dr slaa chadema walishaijaza? au bado ipo wazi

Hakuna mwanasiasa Tanganyika aliyefikia record ya Lipumba kuanzia kisiasa na kiharakati za kisiasa
Kwa kweli ktk Siasa kuna mengi mbona Dr Slaa kipindi yupo chadema kuitwa majina mengi mabaya na Lumumba kwani leo amebadilika nini.

Lakini tukumbuke timu ni usajili na anayesajili ndo kila kitu kwa hiyo Mbowe atabaki kuwa bwiji wa Siasa Tanzania.

Ukikataa Njoo na jibu mmbadala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
izzo CHADEMA wamegundua CCM inalitumia Jeshi la Polisi kupambana na wananchi wasio hatia na mwisho wa siku wanadai wapinzani hupambana na Serikali wakati ukweli wa mambo ni CCM ndiyo inapambana na wapinzani wake kwa kutumia Jeshi la Polisi.
Wewe umeanzisha hii mada kuoenyesha kuwa una huba sana Cuf. Nilikuuliza, kwanini leo hii Julius Mtatiro sio Mbunge??
 
Back
Top Bottom