Hayo yote yalifanyika kwa muongozo wa Katiba gani? Yaani huo u- royal na mabadiliko mengineyo ambayo hayamo ktk Katiba zao yalipata baraka kwa vikao gani vya vyama kutengua taratibu za kikatiba kuwezesha hayo kufanyika? Hapo ndio walipojikwaa wang'oe visiki wasijikwae kesho waiangalie walipodondokea.
Mkuu lipumba na maalim wote walikuwa CUF na UKAWA ghafla lipumba akaacha cuf na vuguvugu ya UKAWA hivyo ikabaki
CUF UKAWA = LIPUMBA NO UKAWA
MAALIM kiongozi = Lipumba sio kiongozi
Hivyo maalim akabaki cuf na cuf ikabaki ukawa isipokuwa LIPUMBA
Maalim akshirikiana na cuf kweye uchaguzi huku lipumba kajitenga
Cuf ikashirikiana na ukawa huku lipumba kajitenga
Uchaguzi ukaisha maalim na cuf na ukawa wakashangilia na kulia kwa pamoja huku lipumba hayupo
Kwenye kudai haki ya maalim zenji chadema walitimuliwa bungeni kisa kushirikiana na cuf kumzomea mhaini dk shein huku lipumna akiwa pembeni hakusaidia lolote na wakati wote chadema wakimsuppoort seif haikuonekana wanaingilia mambo ya cuf
Kweye uchaguzi wa marudio lisu alipinga uhuni huo hadi kupelekea kulala selo na gazeti la mawio kufungiwa huku lipumba akiwa kimya ila hakuna aliyeona chadema imeingilia uhuru wa cuf
Ghafla lipumba anarudi kinyume na utaratibu hadi chama kinagawanyika seif kma kawaida anawashirikisha wanaukawa wenzake kma alivyowashirikisha kususia uchaguzi wa marudio, kudai haki yake n.k cha kushangaza walipomsaidia mwenzao kma huko nyuma eti ndio WAMEINGILIA MAMBO YA NDANI YA CUF NA WANATAKA KUIUA
Hapa ndipo sielewi kabisa...... nyie mnaomtetea lipumba na kuwalaumu chadema mje hapa mtusaidie kivp huko nyuma tulimpomsupport seif hamkuona tunataka kuiua cuf ila kipindi anatuomba tushirikiane naye kuepuka uvamizi wa lipumba basi chadema ndio inakuwa mchawi wa cuf hivi huu undumilakuwili unawasaidia nni