Ndugu siwez kukubishia coz ur junior nataka kukwambia mission ya chama chochote cha siasa ni kuongoza serikali for ur info Cuf tayali wameshatumia magari ya STK na ving'ora Zanzbar hayo ni mafanikio makubwa sana ya kisiasa kumbuka mafanikio hayo na Lipumba ameshiriki pia unatakiwa kujua kuna watu walikufa na wengine kukimbia nchi ktk harakat za kisiasa hasa CUF lipumba ni mwanasiasa aliyepata misukosuko ya serikali kuliko wanasiasa wote Tanganyika leo ingekuwa miaka ile ya 2000-2005 unadhani Lissu angeleta ujinga kwa Mkapa? acheni kuongea tu enz ya upinzani wa Cuf ulikuwj ni hatari sana kuliko leo chadema
Nimecheka sana uliposema Mbowe mpinzani duniani hakuna mpinzani mfanyabiashara na Africa hakuna mpinzani ambae ajaonja mahabusu au vipigo vya police
Kwahyo hamad rashid na yule mwenyekiti wa UPDP nao vyama vyao vimepaa sababu tu wapo serikali ya ccm pia act na tlp nao ni vyama vikubwa kisa tu mrema na mghwira wanapigiwa ving'ora
😀😀 😀😀 yaani we jamaa bhana unanchekesha sana
Mbowe keshalala selo sana mkuu hadi aliwahi hukumiwa kifungo mwaka 2015 kabla hajakata rufaa na kushinda kma ni virungu kule mwanza alikula virungu sana tu mwaka 2010 alipoenda kampeni za wenje!!!! Kaporwa jengo, katajwa list ya wauza madawa kipi bado hajafanyiwa uamini ni mpinzani kweli???
Unasema lisu asingemuweza mkapa unasahau alipokuwa mwanasheria wa LEAT alikuwa anapambana na nani??
😀😀 .Hivi alichaniwa shati tarime na kulala selo hulo nyamongo hadi akakimbilia trip ya uingereza Rais alikuwa nani??? Alipokuwa akikamatwa kisa uchochezi kwenye kipindi cha pambanua enzi hizo za 2003 rais alikuwa nani??? We bhana acha utani na lisu kuwa serious kabisa
Haya unasema cuf ilikuwa imara kuliko chadema mbona hawakuwahi fikisha hata wabunge watatu bara nzima
😀😀..... mboma waliposakiziwa kuwa ni chama cha kiislam kilijifia kabisa hasa bara walipojaa makafiri
😀😀😀....... uzuri wa mbowe ni consistency yaank nccr na cuf vilikuwa vyama vikubwa ila kwa msimu vikapotezwa na ccm ila chadema wameishindwa labda ife kwa makosa ya viongozi wa chadema wenyewe sio sababu ya hila na njama za ccm na wwe unajua hilo
Long live mbowe long live maalim long live UKAWA