Mie nipo ccm mambo ya kafu hayanihusuUkiona unamuunga mkono Lipumba ujue kwamba unataka CUF ife! Wewe upo upande gani?
Mie nipo ccm mambo ya kafu hayanihusuUkiona unamuunga mkono Lipumba ujue kwamba unataka CUF ife! Wewe upo upande gani?
Dawa mahusi ya future ya UKAWA ni Maarim Sef kuhamia CHADEMA pamoja na wafuasi wake wote. Lengo la CUF Lipumba ni kumfukuza ktk muda mwafaka.Sababu walisign MoU kati ya vyama washiriki wa UKAWA!!! Hivyo lazma matters zenye kuhudu uhai wa vyama ushughulikiwe pia na vyama washirika
Ndo maana hta wakati wa kampeni lipumba alipowatelekeza CUF mbona hulalamiki chadema walivyowashika mkono hadi cuf wakachanua bara kwa majimbo ya rekodi!!!
Nguvu za kiume au za kisiasa?kama za kisiasa cuf walikuwa wapo serikalini huko zanzibari 2010-2015,chadema walikuwa wana nguvu gani hapoKabla hata ya huu mgogoro cdm kilikuwa na nguvu kuliko Cuf hasa toka uchaguzi wa 2010.
Off point mkuu tindoMkuu sisi tunazungumzia vyama vya siasa vya kiraia na sio kikundi cha kijeshi. Umewahi kuona ccm inajenga hoja za kisiasa zaidi ya kutumia jeshi kujibu hoja? Ccm ni chama cha kijeshi na sio chama cha siasa.
Nguvu za kiume au za kisiasa?kama za kisiasa cuf walikuwa wapo serikalini huko zanzibari 2010-2015,chadema walikuwa wana nguvu gani hapo
Off point mkuu tindo
Harakati gani za lipumba za maana ambazo kafanya?Hahahahahaha hv ukisema mwanasiasa jabari aliyebaki wa upinzani Tanganyika Lipumba ni number moja rudi maktaba kapekue ni mwanasiasa gani aliyeanzisha vuguvugu la kisiasa ambalo Dr Slaa alikuja kucopy na chadema kutake over 2010 - 2015 chini ya katibu mkuu Dr Slaa cjuh kama nafasi ya Dr slaa chadema walishaijaza? au bado ipo wazi
Hakuna mwanasiasa Tanganyika aliyefikia record ya Lipumba kuanzia kisiasa na kiharakati za kisiasa
mbowr yupo kwenye 'chama chetu mbadala'..ambacho wakati cuf ipo juu tulijitahid kukibeba hata kwa media ili cuf cha waswahili kipotee..hivyo tukajitahid sana kuipora majimbo cuf kuwavunja nguvu wafuasiAcha ushabiki wa kitoto hivi ukiweka track record ya mbowe na huyo lipumba mafanikio ya mbowe ndani ya miaka kumi utalinganisha na mafanikio ya uongozi wa lipumba unaofikia miaka 20 soon?????
Kwa ufupi licha ya madhaifu alionayo ila kiongozi imara zaid katika historia ya upinzani ni mbowe na dr slaa na seif ila hao kina lipumba hana cha maana alichofanya no wonder miaka 15 ya utawala wake walishindwa fikidha hata majimbo 5 bara nzima
Hahahahahaha hv ukisema mwanasiasa jabari aliyebaki wa upinzani Tanganyika Lipumba ni number moja rudi maktaba kapekue ni mwanasiasa gani aliyeanzisha vuguvugu la kisiasa ambalo Dr Slaa alikuja kucopy na chadema kutake over 2010 - 2015 chini ya katibu mkuu Dr Slaa cjuh kama nafasi ya Dr slaa chadema walishaijaza? au bado ipo wazi
Hakuna mwanasiasa Tanganyika aliyefikia record ya Lipumba kuanzia kisiasa na kiharakati za kisiasa
Sababu walisign MoU kati ya vyama washiriki wa UKAWA!!! Hivyo lazma matters zenye kuhudu uhai wa vyama ushughulikiwe pia na vyama washirika
Ndo maana hta wakati wa kampeni lipumba alipowatelekeza CUF mbona hulalamiki chadema walivyowashika mkono hadi cuf wakachanua bara kwa majimbo ya rekodi!!!
Acha ushabiki wa kitoto hivi ukiweka track record ya mbowe na huyo lipumba mafanikio ya mbowe ndani ya miaka kumi utalinganisha na mafanikio ya uongozi wa lipumba unaofikia miaka 20 soon?????
Kwa ufupi licha ya madhaifu alionayo ila kiongozi imara zaid katika historia ya upinzani ni mbowe na dr slaa na seif ila hao kina lipumba hana cha maana alichofanya no wonder miaka 15 ya utawala wake walishindwa fikidha hata majimbo 5 bara nzima
Unapiga zumari la Chadema dhidi ya Cuf halafu unashangaa kwanini watu hawachezi. Cdm haijawahi kuwa na mapenzi na Cuf. Ukawa haipo na ilikuwa magumashi tu , ambaye aaamini yuko usingizini na hataamka labda mpaka parapanda la ufufuo wa bwana.Huwezi kuelewa kwani tayari umeufunga mlango wako wa fahamu kwa ushabiki wa Ki-CCM.
Hatuna la maana???? Hivi bila upinzani hayo maufisadu yote ambayo magu anayatumbua mngeyajuaje????
Ndugu siwez kukubishia coz ur junior nataka kukwambia mission ya chama chochote cha siasa ni kuongoza serikali for ur info Cuf tayali wameshatumia magari ya STK na ving'ora Zanzbar hayo ni mafanikio makubwa sana ya kisiasa kumbuka mafanikio hayo na Lipumba ameshiriki pia unatakiwa kujua kuna watu walikufa na wengine kukimbia nchi ktk harakat za kisiasa hasa CUF lipumba ni mwanasiasa aliyepata misukosuko ya serikali kuliko wanasiasa wote Tanganyika leo ingekuwa miaka ile ya 2000-2005 unadhani Lissu angeleta ujinga kwa Mkapa? acheni kuongea tu enz ya upinzani wa Cuf ulikuwj ni hatari sana kuliko leo chademaAcha ushabiki wa kitoto hivi ukiweka track record ya mbowe na huyo lipumba mafanikio ya mbowe ndani ya miaka kumi utalinganisha na mafanikio ya uongozi wa lipumba unaofikia miaka 20 soon?????
Wakati mwingine mnapoandika mambo muwe mnaona aibu kidogo. Sasa kama ni kweli kwamba Afrika mtu hawezi kuwa mpinzani bila ya kupata vipigo toka kwa polisi unamaanisha nini. Unataka kusema kwamba Polisi wa Afrika wanawachukia viongozi wa vyama vya upinzani?Nimecheka sana uliposema Mbowe mpinzani duniani hakuna mpinzani mfanyabiashara na Africa hakuna mpinzani ambae ajaonja mahabusu au vipigo vya police
Ndugu katika zone 4 za dunia kila zone kuna aina ya siasa zake kuanzia Asia,Wazungu, Waarabu na Waafrca so kila jamii inatafasri democrasia kwa maana yao wazungu hawana neno mpinzani waarabu wapinzani wanaita vyama vya kigaidi Asia hakuna wapinzani kabsaWakati mwingine mnapoandika mambo muwe mnaona aibu kidogo. Unataka kusemakwamba Polisi wa Afrika wanawachukia viongozi wa vyama vya upinzani?
Ni kweli kuwa "duniani" hakuna mpinzani mfanyabiashara. Trump kabla ya kuwa Rais wa Marekani si alikuwa ni mpinzani tena mfanyabiashara? Au unazungumzia dunia ya CCM?