Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,171
- 1,080
FOB- Free on board na CIF- Cost , insurance freight - terms za kibiashara ambazo kwa kitaalamu zinaitwa INCOTERMS
Kirefu chake Ni international commercial term hiyo Ni commerce form twoFOB- Free on board na CIF- Cost , insurance freight - terms za kibiashara ambazo kwa kitaalamu zinaitwa INCOTERMS
Well,Mwenye uzoefu na gari aina ya Toyota Voltz, uzuri wake na usumbufu wake
Mzee baba mchukulie Premio itamfaaNina option ya kumnunulia wife gari kati ya toyota premio new model na toyota ractis, mwenye uzoefu wa hizi gari msaada tafadhari?
Why not?Premio new model huwezi nunua komaa na ractis tu
19MNahitaji kujua bei ya IST new model ya 2007 Inauzwaje kwa Dar. Sio kwa mtu
Kwa Tanzania,Wadau nimevutiwa sana na Landrover Discovery 3, diesel engine, naomba ushauri wenu hasa kwa mazingira yetu ya hapa Tanzania, nataka kuagiza kutokea South Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bora iwe used ushuru wa mpya ndio balaa zaidi.Kwa Tanzania,
Watu wamejaa Roho ya kwanini,
Yaani Kama gari yako ni used jiandae kulipia ushuru ×3 ya bei ulonunulia.
Sent using Jamii Forums mobile app