Ushauri: Ununuaji wa magari

Ushauri: Ununuaji wa magari

Chukua WISH kwa kuwa haitachajiwa uchakavu sana maana ni ndani ya miaka 10 pia tafuta kampuni ya beforward ni nzuri ukiweza tumia BFS 178357 utapata punguzo zaida na utafurahia hiyo gari kwa bei ya discount
Na hawa jamaa wa SBT Japanese, Nasikia wapo vizuri sana katika kuagiza gari. Ambaye kashawatumia watupe mrejesho
 
Msaada katika magari haya
Toyota Noah Exhurb vs Toyota Noah Super. Ipi ni imara sana kwa shughuli za hapa na pale.
 
Naomba kuuliza, hapa Tanzania hiyo hela tunalipia bank gani? Hao maagent wa kunitolea gari bandarini nawapataje?
 
Naipenda gari ya MITSUBISHI PAJERO, nataka kuichukua wenye ufahamu wa gari hizi je, hazina usumbufu mkubwa sana hasa kwa sula la spares na utumiaji wa mafuta engine size 1990cc
Mwenye ufahamu anijuze
 
Nataka kuuza gari yangu ambayo ipo nimeisajili bandarini na nimelipia kila kitu ila kuna mteja katoka Zambia anaitaka sasa nitakata kumuuzia. Je, ile kodi yangu inakuaje na nimeshalipia ila gari bado sijaingia nayo barabarani?

Msaada wakuu
 
Habari wanajamvi, samahani naomba kama kuna yeyote anayejua Wakala wa Japan spare parts hapa Bongo anisaidie mawasiliano. Kuna spare parts nahitaji kwa ajili ya injini ya gari
 
Habari jamani. Naombeni kujuzwa juu ya gharama ya crankshaft ya Terios Dahatsu piston nne.na kama zipo nazipataje kutoka ziliko. Mimi nipo Morogoro.
 
Nahitaji crankshaft ya terios dahatsu piston nne

1512199896125-2100238570.jpg
 
Kama kichwa chá habari hapo juu hivi kwamfano nikiwa naranda randa kwenye mtandaokama be forward nasikia unalipa kwa CIF au FOB nielewesheni FOB na CIF maana yake. Nataka kujua wajamen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom