Ushauri: Ununuaji wa magari

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
2,419
Points
2,000

MAGARI7

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2016
2,419 2,000
Familia yangu ni watu watano, (mke na watoto watatu) mizunguko yangu ni kawaida kabisa (kazini, outing, kanisani, kwenda mkoani kipindi cha likizo eg Dar Songea, kuhusu Barabara. Niko nje ya mji ambako Barabara sio smooth kiivo
Basi, Toyota Voltz Itakufaa zaidi. Maana ina uvumilivu wa hali ya juu sana. Karibu uiagize kupitia Semsella Enterprises kutokea be forward uweze kupata nafasi ya kuilipia kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi saba.

Karibu sana
 
ilonga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
995
Points
500

ilonga

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
995 500
Hi wapendwa wa JF naomba kama kuna mtu ana uzoefu wa engine za Toyota Premio yaani
1ZZ 1790cc
1NZ 1490cc ni ipi ni mashine nzuri?
Nina 1ZZ-FE (1794cc) lakini kwenye gari nyingine, si Premio. Ni injini nzuri endapo ikitunzwa vizuri, service kwa wakati. Ikizingua sana, usiogope kufanya overhaul. Kuwa makini na spark plugs, zikiwa za ubora hafifu, fuel consumption inakuwa juu.

Oil yake ni 5W30. Ukiweka oil nzito kama 20W50, fuel consumption inakwenda juu. Kwa town trips inaenda hadi 8-9km kwa lita.

Wenye 1NZ (1500cc) wanapata hadi 10km kwa lita kwa town trips na foleni zake.
 
Edwine Osward

New Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
2
Points
20

Edwine Osward

New Member
Joined Sep 24, 2018
2 20
Nina 1ZZ-FE (1794cc) lakini kwenye gari nyingine, si Premio. Ni injini nzuri endapo ikitunzwa vizuri, service kwa wakati. Ikizingua sana, usiogope kufanya overhaul. Kuwa makini na spark plugs, zikiwa za ubora hafifu, fuel consumption inakuwa juu.

Oil yake ni 5W30. Ukiweka oil nzito kama 20W50, fuel consumption inakwenda juu. Kwa town trips inaenda hadi 8-9km kwa lita.

Wenye 1NZ (1500cc) wanapata hadi 10km kwa lita kwa town trips na foleni zake.
Asante sana kwa maelezo ya kitaalamu
 
ID Fake

Senior Member
Joined
Aug 9, 2017
Messages
161
Points
250

ID Fake

Senior Member
Joined Aug 9, 2017
161 250
Basi, Toyota Voltz
Itakufaa zaidi. Maana ina uvumilivu wa hali ya juu sana.
Karibu uiagize kupitia Semsella Enterprises kutokea be forward uweze kupata nafasi ya kuilipia kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi saba.

Karibu sana
Bei yake inasimamia ngapi, kiongozi?

Nimevutiwa na maelezo.
 
jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Messages
1,545
Points
2,000

jangala

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2014
1,545 2,000
Wakuu nimeagiza gari, but nahisi hela ya clearance na ushuru nitachelewa kulipa almost mwezi mzima tangu gari itakapowasili. Naombeni kufahamishwa ni nn kibaya hapo kitanikuta?
 
Forum statistics

Threads 1,381,946
Members 526,217
Posts 33,814,804
Top