Ushauri: Ununuaji wa magari

Prodigy Oligarchy

Prodigy Oligarchy

JF-Expert Member
Mar 21, 2020
260
250
Wakuu naomba kuuliza kabla sijafanya maamuzi yakununua gari aina ya Toyota town ace pickup kati ya diesel engine na petrol engine ipi itakuwa naubora naombeni ushauri viongozi
Hopefully ulifanikiwa kufanya manunuzi yako
 
Danny Massawe

Danny Massawe

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,266
2,000
Salam wadau!!
Ninahitaji kununua truck kwa ajili ya kubeba mizigo maeneo ya mjini na wilaya za karibu ambazo kwenda na kurudi haizidi 200kms. Mizigo ninayotarajia kubeba ni tani 4 mpaka 5. Ninaomba ushauri ni gari gani ninunue ambayo haitanisumbua na gharama zake za uendeshaji sio kubwa
Mimi niliwaza MITSUBISHI CANTER

NAOMBENI USHAURI NIKIJE NIKANUNUA KITU AMBACHO SIO SAHIHI

Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom