Ushauri: Ununuaji wa magari

Habarini wakuu!

Vipi ubora wa gari aina ya Allex/Runx ukilinganisha kwa Raum (Trip tu za town na route ndefu mara moja moja).
 
Habarini wakuu!

Vipi ubora wa gari aina ya Allex/Runx ukilinganisha kwa Raum (Trip tu za town na route ndefu mara moja moja).
Bila kupepesa macho, chukua!

Ila utafaidi zaidi na kutumia kwa uhakika ikiwa utaagiza mwenyewe na kuianzia mwenyewe

Za hapa hapa nyingi zinakua na mafua sana
 
Wadau Nawasalimu Siku huzi katia Mitandao Makampuni Mengi yanafanya kazi ya Kuagiza Magari baada ya Mteja kutoa Nusu ya Bei
Je uhakika wa uimara wa Gari kama MTEJA naujuaje bila kuliona na kulikagua kwanza?
Pili Je ni Vema kusubiri wayalete Show room ndio nikakague na kulipa Fedha zote?
 
Wengi tumenunua magari kwa kuzingatia picha na labda upate inspection certificate. Ukitaka kulikagua mwenyewe, nunua yaliyopo showrooms.
 
Wengi tumenunua magari kwa kuzingatia picha na labda upate inspection certificate. Ukitaka kulikagua mwenyewe, nunua yaliyopo showrooms.
Kuna kampuni zinafanya ukaguzi kabisa gari ikiwa Japan mkuu ikiwemo SBT lakini pia Beforward huwa wanaweka Inspection report kwenye website kwa kila gari husika.
 
Wakuu habarini, ninataka kuagiza Alphard au Nissan Dualis. Naomba muongozo wa namna ya kuagiza pitia befoward?
 
As i wrte, ni 16.8m (DUTY & VAT INCL)

Unaweza kuagiza kwa malipo ya awamu-awamu ya hadi miezi 7 kupitia Semsella Enterprises, kutokea kampuni yeyote uipendayo, such as be forward, enhance etc.

Yaani 12.6m gari ikifika unakabidhiwa , 4.2m unaimalizia kwa installment ya hadi miezi saba

Kila mwezi 600,000

Sent using Jamii Forums mobile app
Bei halisi ya Toyota fielder ya 2008 Ina bei gani kwa Tanzania sio kwa mtu
 
IMG_20221116_151721_565.jpg
 
Wakuu kama kuna anaefahamu utofauti uliopo kwenye hizi Engine za 2AZ au Magari yenye hizi Engine naona mfano Ipsum kuna 240i, 240s au 240u sijajua nini tofauti au maana halisi ya hizo herufi!?
 
Back
Top Bottom