Ushauri: Ununuaji wa magari

Hata mimi nitaomba kuiba michango ya hii post. Ninataka kununua ka Suzuki kei mkubwa cha kunitoa Mbagala to Posta kwa kweli. Hebu nipe details unaiimport from wapi? How much? Natanguliza shukrani.

Kuhusu malipo bandarini nimeambia rates zimepanda siku hizi, eti wanacalculate kwa kutumia value ya gari ikiwa mpya not the condition it is in when bought/imported.
 
CIF2,000 USD3,240,700 TZS
Import Duty500 USD810,175 TZS
Dumping Fee500 USD810,175 TZS
Excise Duty150 USD243,053 TZS
VAT567 USD918,738 TZS
Total Taxes1,717 USD2,782,141 TZS
Port Charges150 USD243,053 TZS
L/Shipping Line75 USD121,526 TZS
Total Cost3,942 USD6,387,420 TZS

Hiyo ndo estimate cost kama umenunua leo 30/6/2011. Bado Bima na usumbufu wa jamaa wa TRA.
 
Mentor,
Naimport from Japan, through tradecarview. Itategemea na gari unayoitaka. kama ni ya miaka ya 2002, bei zake zipo kubwa kidogo. lakini, nataka nijue kwanza gharama za bongo kabla sijajitumbukiza kuagiza. Maana unaweza kujikuta unaiacha gari bandarini.
 
NYENJENKURU, Hawa unakutana nao wapi tena? Si umeshainclude mambo yao kwenye jedwali?
By the way, what does CIF stand for?
 
NYENJENKURU, Bahati mbaya tu kwamba kitufe cha thanks kimeondolewa. But nashukuru sana mkuu. Lakini hii ni ya gari ipi? Ile yenye cc 660 au Mitsubishi yenye cc 1100?
 
Hawa unakutana nao wapi tena? si umeshainclude mambo yao kwenye jedwali?
By the way, what does CIF stand for?
CIF sina uhakika kuhusu kirefu chake, but inajumuisha gharama ya gari ikiwa Japan, gharama ya kusafirisha hadi Tanzania, pamoja na gharama za insurance ya hiyo gari.
 
Naimport from Japan, through tradecarview. Itategemea na gari unayoitaka. kama ni ya miaka ya 2002, bei zake zipo kubwa kidogo. lakini, nataka nijue kwanza gharama za bongo kabla sijajitumbukiza kuagiza. maana unaweza kujikuta unaiacha gari bandarini.

Ukisoma maelezo vyema ya hiyo site kuna namna na maelekezo ya jinsi ya kuagiza gari na hatua za kuchukua mkuu, ile ya TRA file ya excel hata mimi inanichanganya
 
CIF sina uhakika kuhusu kirefu chake, but inajumuisha gharama ya gari ikiwa Japan, gharama ya kusafirisha hadi Tanzania, pamoja na gharama za insurance ya hiyo gari.

If it is so, mbona tena jamaa ameongelea bima? Ama hii bima iliyoko kwenye CIF ni ya kusafirisha tu?
 
Naimport from Japan, through tradecarview. itategemea na gari unayoitaka. kama ni ya miaka ya 2002, bei zake zipo kubwa kidogo. lakini, nataka nijue kwanza gharama za bongo kabla sijajitumbukiza kuagiza. maana unaweza kujikuta unaiacha gari bandarini.

Nataka hiyohiyo cheap kwa sasa, cc 660, ya 2002. Let me check. Thanks mkuu!
 
Ukisoma maelezo vyema ya hiyo site kuna namna na maelekezo ya jinsi ya kuagiza gari na hatua za kuchukua mkuu, ile ya TRA file ya excel hata mimi inanichanganya
Yes, nimecheki zile steps za kucalculate kodi and the likes, lakini kilichonishangaza, majibu niliyopata mwisho hayakuwa na tofauti na yale ya kwenye Welcome to GariYangu.com - GariYangu.Com.

Hapo ndo nikashindwa kuelewa kilichoongezeka ni nini na kilichobadilika ni nini? That is why nikaja huku kuomba msaada. Otherwise kama steps zinazotumika pale zipo sahihi, basi jedwali la Nyenjenkuru linaweza kuwa limetoa majibu.
 
Wanaita evaluation of used cars chek kwenye website ya TRA nadhani kuna more details kuhusiana na hili
Thanks mkuu. Ila kuna watu wamenitisha kwamba eti jamaa wanacalculate kwa kuangalia bei ya hiyo gari mpya kwa sasa, wanatafuta deprecion, halafu ndo wanafanyia mahesabu hapo. Inasemekana gharama uliyonunulia hawahesabii. Hapo ndo pananitia woga kidogo.
 
Lukolo mimi nimeangalia kwenye hiyo table yao bei suzuki kei hawana ila kwa pajero io total taxes tra ni USD 1280.00 x exchange rate na gharama za bandari na shipping line ni kama 300,000.00.
 
Lukolo
Thanks mkuu. Ila kuna watu wamenitisha kwamba eti jamaa wanacalculate kwa kuangalia bei ya hiyo gari mpya kwa sasa, wanatafuta deprecion, halafu ndo wanafanyia mahesabu hapo. Inasemekana gharama uliyonunulia hawahesabii. Hapo ndo pananitia woga kidogo

Ni kweli mkuu na bei kama ambavyo nimekupa hapo juu cost retail price yao ni usd 11746.00 depreceation 75% unapata total taxes usd 1280.00
 
Lukolo mimi nimeangalia kwenye hiyo table yao bei suzuki kei hawana ila kwa pajero io total taxes tra ni usd 1280.00 x exchange rate na gharama za bandari na shipping line ni kama 300,000.00.
Shukurani sana MANI . Angalau nimefarijika kwamba ninaweza kumudu. Ngoja sasa nijipinde kwa ajili ya hiyo Pajero.
 
CIF
2,000 USD
3,240,700 TZS
Import Duty
500 USD
810,175 TZS
Dumping Fee
500 USD
810,175 TZS
Excise Duty
150 USD
243,053 TZS
VAT
567 USD
918,738 TZS
Total Taxes
1,717 USD
2,782,141 TZS
Port Charges
150 USD
243,053 TZS
L/Shipping Line
75 USD
121,526 TZS
Total Cost

3,942 USD
6,387,420 TZS


Hiyo ndo estimate cost kama umenunua leo 30/6/2011.Bado Bima na usumbufu wa jamaa wa TRA..

Angalizo jamani!! Sasa hivi TRA hawafuati hiyo CIF value. Wanakokotoa kwa kufanya depreciation ya gari based na thamani yake ilipokuwa mpya na imepita miakia mmingapi toka itengenezwe. Nimeagiza gari kwa CIF haizidi $2,600 na sasa agent wangu ananiambia kodi zote ni over Tshs 10million!!!! Huu ni wizi wa mchana kabisa. Gari haijafika bado.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom