Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,360
[/COLOR][/B]
kwa hapa sijui, lakini kwa maelezo yake mimi nimeona yule mwanamke bado anampenda mme wake ndo maana anajipendekeza kwa mama mkwe ili arudiane, si unajua wa mama na watoto wa kiume ni damu damu, anaweza mama kapewa hata rushwa ndo maana anakomaa kijana warudiane na huyo mtalaka wake. ila ningekuwa mimi ningetema mzigo aisee
Sasa naelewa!
...
Kuluhisha hiyo kitu ni mzunguko mrefu!!!!
Yap! Wewe unatafuta ushauri kwa ajili ya shoga yako! While has no direct connection to the fact in ishue!
The duty is upon Mbaba!
...
So umwambie shoga yako amshauri Mbaba (who has locus standi) aongee na mama yake, huku akimsistiza hatokosa lolote kutoka kwa huyo mkwewe! Na amkumbushe watoto ndio connection yao (mama na mkwewe)!
na amwambie kabisaa kama ni msaada wa fedha/hela hata yeye atampatia! Then amuulize kwanini anang'ang'ania ndoa kwa interests zake?!!