Ushauri unahitajika

Ushauri unahitajika

mie kasoro kivipi tena suprise jamani?

kha!!! wee kweli mzuri...vijana wanakutaka na wazee wanakutaka....ila huyo wa ndumba kweli noma.

mzabzab bana kwa kujisahaulisha, we c umesema vijana wanamtaka na wazee wanamtaka nikakwambia kasoro wewe hujamtaka sa hapo huelewi nini, kwanza we kijana au mzee usikute upo inclusive
 
Back
Top Bottom