Ushauri unahitajika

Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,927
2,000
Habari zenu ndugu wapendwa wana MMU wote,

Kwa heshima na taadhima naomba kuwashirikisha mambo yangu wawili yanayohusiana na mahusiano kwa ushauri zaidi na majadiliano,
Case no 1..
Kuna kijana anadai ananipenda lakn nimemkatalia kwa sababu haiwezekani kuwa nae (we are not compatible at all at all)..Age much older than him na mambo mengine.Lakini reaction yake ni kuwa yeye kama akifa saa yoyote basi mimi ndio chanzo na kama wakipeleleza watajua mimi ndio chanzo..Nilikuwa nachukulia utani lakn sasa naona huu wimbo wa kufa unazidi..sijaelewa kama anatania tu au yupo serious lakn ninavyomuona akili zake dakika mbili mbele...Asije akafanya kweli afu nikawa sababu... Nishaurini ni handle vipi hii issue.

Case no 2.
Kuna babu mtu mzima above 60 ananing'ang'ania niwe kwenye familia yake kama mke/mkwe.. Ilianza wakati naanza kazi na nikamkuta hapo ofisini.Alikuwa anaonyesha dalili za ku care lakn sikumpa nafasi ya kuropoka... Baadae sijui alikata tamaa au vipi akaoa yani akafunga ndoa na mke aliyekuwa anaishi nae.Baada ya hilo akaja baba mwingine wa hapo ofisini na kunieleza jinsi huyo babu alivyokuwa anajigamba kuwa ni lazima anioe na alinifanyia hata dawa(kwa mganga) iliyoshindikana anyway.Nilimuita na kumuuliza habari hizo mbele ya mleta habari na hakukana/alikubali..Juzi kati kaibuka tena akidai kuwa ni mpango wa Mungu niwe naye...Ndipo nilimuuliza kama ana mpango mke wake afe ndio anioe(ndoa ni mpaka kifo kitenganishe).Alishtuka kwa maneno hayo na akageuza kibao na kusema kuwa kama yeye imeshindikana basi ni LAZIMA mtoto wake anioe.Akaongeza kuwa nitake nisitake lazima niingie kwenye familia yake..Sijamuelewa huyu mzee ana nini na mimi? na anaringia nini.Ninavyomuona ni kama hatanii na anachoongea. Naombeni ushauri na maombi ikiwezekana ili aniwache nipumue...
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,709
2,000
Kwenye cases zote mbili una wendawazimu wanaojifanya wanakupenda. Wa kwanza anakutisha tu na saa nyingine kuna kitu cha ziada anataka kwako hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya vijana wa siku hizi wanapenda sana kufugwa. Refer jinsi wanavyojitokeza humu wakitafuta mijimama. Pia anaonekana hajui anachosema. Ukitaka kujua kuwa ni tisha toto mwambie to his face kuwa kufa na kuishi kwake siyo suala linalokuhusu. Mtishie kuwa umekuwa ukirekodi malalamiko yake uone atakavyofata mkia na kutafuta pa kuficha sura yake.
Hili zee hata kama lina mapenzi ya kweli lilikosea kujifanya linacare kumbe lina jambo. Watu wa namna hii huwa nawachukia. Angekuwa mtu serious na wa kweli angekutokea pale alipokuona na kusema anachotaka. Simpo. Kuhusu vitisho vyake ni danganya toto otherwise nawe uwe mshirikina uviamini. Angekuwa ana uwezo huo si angekuoa kwa kutumia hizo dawa pale ulipomkatalia? Mie naona ni mfa maji. Kama uko Dar hawa wako wengi na wameharibu maisha ya wengi.
Habari zenu ndugu wapendwa wana MMU wote,

Kwa heshima na taadhima naomba kuwashirikisha mambo yangu wawili yanayohusiana na mahusiano kwa ushauri zaidi na majadiliano,
Case no 1..
Kuna kijana anadai ananipenda lakn nimemkatalia kwa sababu haiwezekani kuwa nae (we are not compatible at all at all)..Age much older than him na mambo mengine.Lakini reaction yake ni kuwa yeye kama akifa saa yoyote basi mimi ndio chanzo na kama wakipeleleza watajua mimi ndio chanzo..Nilikuwa nachukulia utani lakn sasa naona huu wimbo wa kufa unazidi..sijaelewa kama anatania tu au yupo serious lakn ninavyomuona akili zake dakika mbili mbele...Asije akafanya kweli afu nikawa sababu... Nishaurini ni handle vipi hii issue.

Case no 2.
Kuna babu mtu mzima above 60 ananing'ang'ania niwe kwenye familia yake kama mke/mkwe.. Ilianza wakati naanza kazi na nikamkuta hapo ofisini.Alikuwa anaonyesha dalili za ku care lakn sikumpa nafasi ya kuropoka... Baadae sijui alikata tamaa au vipi akaoa yani akafunga ndoa na mke aliyekuwa anaishi nae.Baada ya hilo akaja baba mwingine wa hapo ofisini na kunieleza jinsi huyo babu alivyokuwa anajigamba kuwa ni lazima anioe na alinifanyia hata dawa(kwa mganga) iliyoshindikana anyway.Nilimuita na kumuuliza habari hizo mbele ya mleta habari na hakukana/alikubali..Juzi kati kaibuka tena akidai kuwa ni mpango wa Mungu niwe naye...Ndipo nilimuuliza kama ana mpango mke wake afe ndio anioe(ndoa ni mpaka kifo kitenganishe).Alishtuka kwa maneno hayo na akageuza kibao na kusema kuwa kama yeye imeshindikana basi ni LAZIMA mtoto wake anioe.Akaongeza kuwa nitake nisitake lazima niingie kwenye familia yake..Sijamuelewa huyu mzee ana nini na mimi? na anaringia nini.Ninavyomuona ni kama hatanii na anachoongea. Naombeni ushauri na maombi ikiwezekana ili aniwache nipumue...
 
lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,710
2,000
Hahaaaaaaaa! Muonee huruma Kijana mwenzio ati! Dying for some one is the highest form of showing your love for that someone!!!!!!

Babu nae mbona anitishaaaa! Ndumba tenaaaa! Mhhhhhhh! Balaaaaa hilo!

Msimamo wangu Mfikirie Kijana Mwenzio, Yawezekana umemkolea hadi haoni meaning of life without you!!!!!!

Naomba wimbo wa Malaika wa Miriam Makeba ukubruishe usiku wa leo!!!!!!!!
 
MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,469
2,000
Case no 1.
Lazima uelewe serikali ya mwili wako inakutegemea wewe, ukiipeleka vibaya lawama zitakuwa juu yako. Usiwe na papara ya kutoa uamuzi wa kukubali uambiwavyo unapendwa bila kufikiria kwa kina. Hakuna hata siku moja mtu anayekutaka kimapenzi akuambie anakuchukia.

Fikiri kabla ya kutenda na kuona kauli uliyopewa ina nia gani na wewe, kweli anakupenda au anataka kukuchezea na kukuacha.

Case no 2.
Huyo babu anataka akuogopeshe na kukutia hofu nyingi ili uwe mwoga
na hata baadae akikuomba penzi umpe kwa kuogopa yale maneno aliyokuambia.

USIOGOPE KITU, JITAHIDI KUJIKEEP BUSY HII ITAKUFANYA USAHAU MANENO YA HICHO KIZEE KIKOSA ADABU.
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
48,718
2,000
Huyo kijana kukwambia akifa we ni sababu wala hisiwe sababu ya wewe kumkubalia kwani unaweza ukawa usanii kama usanii mwingine! Hebu jaribu kumpima kama ana kufaa na ana upendo wa kweli!
Hapo kwenye umri siwezi kuongelea kwani inaweza isiwe tatizo kama mnapendana kwa dhati!
Hiyo case ya2 inaonekana huyo mzee ana tegemea madawa(ushirikina) wala usisumbike nae we endelea kuomba hata akienda kukufanyia atagonga mwamba!

Habari zenu ndugu wapendwa wana MMU wote,

Kwa heshima na taadhima naomba kuwashirikisha mambo yangu wawili yanayohusiana na mahusiano kwa ushauri zaidi na majadiliano,
Case no 1..
Kuna kijana anadai ananipenda lakn nimemkatalia kwa sababu haiwezekani kuwa nae (we are not compatible at all at all)..Age much older than him na mambo mengine.Lakini reaction yake ni kuwa yeye kama akifa saa yoyote basi mimi ndio chanzo na kama wakipeleleza watajua mimi ndio chanzo..Nilikuwa nachukulia utani lakn sasa naona huu wimbo wa kufa unazidi..sijaelewa kama anatania tu au yupo serious lakn ninavyomuona akili zake dakika mbili mbele...Asije akafanya kweli afu nikawa sababu... Nishaurini ni handle vipi hii issue.

Case no 2.
Kuna babu mtu mzima above 60 ananing'ang'ania niwe kwenye familia yake kama mke/mkwe.. Ilianza wakati naanza kazi na nikamkuta hapo ofisini.Alikuwa anaonyesha dalili za ku care lakn sikumpa nafasi ya kuropoka... Baadae sijui alikata tamaa au vipi akaoa yani akafunga ndoa na mke aliyekuwa anaishi nae.Baada ya hilo akaja baba mwingine wa hapo ofisini na kunieleza jinsi huyo babu alivyokuwa anajigamba kuwa ni lazima anioe na alinifanyia hata dawa(kwa mganga) iliyoshindikana anyway.Nilimuita na kumuuliza habari hizo mbele ya mleta habari na hakukana/alikubali..Juzi kati kaibuka tena akidai kuwa ni mpango wa Mungu niwe naye...Ndipo nilimuuliza kama ana mpango mke wake afe ndio anioe(ndoa ni mpaka kifo kitenganishe).Alishtuka kwa maneno hayo na akageuza kibao na kusema kuwa kama yeye imeshindikana basi ni LAZIMA mtoto wake anioe.Akaongeza kuwa nitake nisitake lazima niingie kwenye familia yake..Sijamuelewa huyu mzee ana nini na mimi? na anaringia nini.Ninavyomuona ni kama hatanii na anachoongea. Naombeni ushauri na maombi ikiwezekana ili aniwache nipumue...
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,023
2,000
Case 1. Huyu jamaa bado ana akili ya kitoto sana, so kaa naye umrecord hivyo vitisho vyake, then ukimaliza mtafutie sumu nzuri mpatie kama zawadi. 'chezeya uhai wewe'

Case 2; Usiogope, maana inaonekana mkono wa Mungu uu juu yako, si alienda kwa mganga akashindwa kukuchezeya? so nakusihi uendelee kumwamini Mungu unayemwamini na kuzidi pia kumuomba, utazidi kubaki salama.

Otherwise, endelea kusimamia misimamo yako, Mungu anakupenda sana na pia ana kusudi na maisha yako. maana hatukuja duniani just kula, kulala, kuzaana then tunakufa, is that all???? seems there is something else big we are called for. so keep pressing on. ''shetani pamoja na upumbavu wake, sio wa kuzoea maana lazima atakuumbua tu, lijinga sana hili''
 
chardams

JF-Expert Member
May 1, 2012
2,439
2,000
Hahaaaaaaaa! Muonee huruma Kijana mwenzio ati! Dying for some one is the highest form of showing your love for that someone!!!!!!

Babu nae mbona anitishaaaa! Ndumba tenaaaa! Mhhhhhhh! Balaaaaa hilo!

Msimamo wangu Mfikirie Kijana Mwenzio, Yawezekana umemkolea hadi haoni meaning of life without you!!!!!!

Naomba wimbo wa Malaika wa Miriam Makeba ukubruishe usiku wa leo!!!!!!!!

Hapo kwenye red mi sikubaliani napo, Lara 1; Zion Daughter kaisha sema hayuko compatible na huyo yankiii , kwanini unataka ajidhalilishe,.

Piga chini wote Zion Daughter..
 
Kindimbajuu

JF-Expert Member
Jul 8, 2009
710
195
Habari zenu ndugu wapendwa wana MMU wote,

Kwa heshima na taadhima naomba kuwashirikisha mambo yangu wawili yanayohusiana na mahusiano kwa ushauri zaidi na majadiliano,
Case no 1..
Kuna kijana anadai ananipenda lakn nimemkatalia kwa sababu haiwezekani kuwa nae (we are not compatible at all at all)..Age much older than him na mambo mengine.Lakini reaction yake ni kuwa yeye kama akifa saa yoyote basi mimi ndio chanzo na kama wakipeleleza watajua mimi ndio chanzo..Nilikuwa nachukulia utani lakn sasa naona huu wimbo wa kufa unazidi..sijaelewa kama anatania tu au yupo serious lakn ninavyomuona akili zake dakika mbili mbele...Asije akafanya kweli afu nikawa sababu... Nishaurini ni handle vipi hii issue.

Case no 2.
Kuna babu mtu mzima above 60 ananing'ang'ania niwe kwenye familia yake kama mke/mkwe.. Ilianza wakati naanza kazi na nikamkuta hapo ofisini.Alikuwa anaonyesha dalili za ku care lakn sikumpa nafasi ya kuropoka... Baadae sijui alikata tamaa au vipi akaoa yani akafunga ndoa na mke aliyekuwa anaishi nae.Baada ya hilo akaja baba mwingine wa hapo ofisini na kunieleza jinsi huyo babu alivyokuwa anajigamba kuwa ni lazima anioe na alinifanyia hata dawa(kwa mganga) iliyoshindikana anyway.Nilimuita na kumuuliza habari hizo mbele ya mleta habari na hakukana/alikubali..Juzi kati kaibuka tena akidai kuwa ni mpango wa Mungu niwe naye...Ndipo nilimuuliza kama ana mpango mke wake afe ndio anioe(ndoa ni mpaka kifo kitenganishe).Alishtuka kwa maneno hayo na akageuza kibao na kusema kuwa kama yeye imeshindikana basi ni LAZIMA mtoto wake anioe.Akaongeza kuwa nitake nisitake lazima niingie kwenye familia yake..Sijamuelewa huyu mzee ana nini na mimi? na anaringia nini.Ninavyomuona ni kama hatanii na anachoongea. Naombeni ushauri na maombi ikiwezekana ili aniwache nipumue...

unaonekana unatumia muda wako na akiliyako kuruhusu kungalia wengine wapo serious kiasi gani na wanayo yafanya au kuyatamka kwako kuliko wewe kuonyesha umakini wa yale unayowaonyesha wengine kuwa either unataka/unapenda au unafanya. hizo cases zote zase 1 &2 zinaonyeelezea haiba (personality ) yako. nakushauri kuwa uwe tu makini na jifunze kuto kuruhusu vitu usivyo na maslahi navyo kutawala akili yako. kwa mfano unajua kijana wa case 1 hajai kwenye kiganja chako, ulipaswa kumwambia mapema hii kituhaiwezekani , sasa akitoa maelezo ya kuwa akijiua wewe ndo unajua ni wewe kupuuza na si kijibu na kuendelea kueleza yale ulikwesha eleza... kwani wewe hujawai fiwa ktk maisha yako? anakutishaje kijana moja ambae hukuzaliwa nae eti akifa wewe unajua?
case 2.. huyu mtu amesha thubutu hata kusema ametumia madawa. bado wewe unamwita kikao kumuuuliza juu ya uliyoambiwa, maslahi yako ilikuwa ni niini? kama lishindikana yeye kutumia madawa manake ni kheri kwako. kitendo cha kujali maneno hayo ukafikia hata kumwita na kumuuliza mwenzio ndo anaona unakaribia kukubali. ulitakiwa kupuuza na hata usipoteze muda na hicho kibabu

ushauri wangu ni huu, kuna wengi unaofanana nao....ni bora wewe kumweleza mwanaume ambae unaona unampenda kuwa unampenda ili akikataa ujue tu kakataa kuliko kuzidi kuwapa nafasi watu ambao unajua hawafanani kuendelea kukaba afasi kwenye akili yako. kifunze wewe kusema unachotaka na si kusikiliza zaidi wengine wanataka nini, aidha sioni kwanini uruhusu akili kuendelea kusikiliza mtu ambae umesha mpa msimamo wako , eti yeye anatishia kujiua. huenda nawe ushawai kupenda... uliwai tishia kujiua pale ulipoona hukubaliki? . usiruhusu watu kukuhamishia matatizo yao bila ya wao kutambua matatizo yako. mimi niliwai mweleza mmoja kuwa nikiona hiyo ujumbe wa kusema atajilipua nitamripoti polisi... alikaa kimya na ninauhakika huko aliko sasa anamaisha mazuri tu hata kuliko angekaa na kimeo mimi
 
snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,151
2,000
wote ndo wale wale shosti wangu Kongosho anawaita ma psych hamna mwenye mapenzi hapo wote wamiliki tu hao!watakutesa ufe!
yani sia ajabu walishajiapiza na damu za viganja vyao kabisa laizima nimege yule matokeo yale wakishakupata utateswa mpka maji uite mma!
kwa ushauri zaidi mPM Gaijin
 
snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,151
2,000
unaonekana unatumia muda wako na akiliyako kuruhusu kungalia wengine wapo serious kiasi gani na wanayo yafanya au kuyatamka kwako kuliko wewe kuonyesha umakini wa yale unayowaonyesha wengine kuwa either unataka/unapenda au unafanya. hizo cases zote zase 1 &2 zinaonyeelezea haiba (personality ) yako. nakushauri kuwa uwe tu makini na jifunze kuto kuruhusu vitu usivyo na maslahi navyo kutawala akili yako. kwa mfano unajua kijana wa case 1 hajai kwenye kiganja chako, ulipaswa kumwambia mapema hii kituhaiwezekani , sasa akitoa maelezo ya kuwa akijiua wewe ndo unajua ni wewe kupuuza na si kijibu na kuendelea kueleza yale ulikwesha eleza... kwani wewe hujawai fiwa ktk maisha yako? anakutishaje kijana moja ambae hukuzaliwa nae eti akifa wewe unajua?
case 2.. huyu mtu amesha thubutu hata kusema ametumia madawa. bado wewe unamwita kikao kumuuuliza juu ya uliyoambiwa, maslahi yako ilikuwa ni niini? kama lishindikana yeye kutumia madawa manake ni kheri kwako. kitendo cha kujali maneno hayo ukafikia hata kumwita na kumuuliza mwenzio ndo anaona unakaribia kukubali. ulitakiwa kupuuza na hata usipoteze muda na hicho kibabu

ushauri wangu ni huu, kuna wengi unaofanana nao....ni bora wewe kumweleza mwanaume ambae unaona unampenda kuwa unampenda ili akikataa ujue tu kakataa kuliko kuzidi kuwapa nafasi watu ambao unajua hawafanani kuendelea kukaba afasi kwenye akili yako. kifunze wewe kusema unachotaka na si kusikiliza zaidi wengine wanataka nini, aidha sioni kwanini uruhusu akili kuendelea kusikiliza mtu ambae umesha mpa msimamo wako , eti yeye anatishia kujiua. huenda nawe ushawai kupenda... uliwai tishia kujiua pale ulipoona hukubaliki? . usiruhusu watu kukuhamishia matatizo yao bila ya wao kutambua matatizo yako. mimi niliwai mweleza mmoja kuwa nikiona hiyo ujumbe wa kusema atajilipua nitamripoti polisi... alikaa kimya na ninauhakika huko aliko sasa anamaisha mazuri tu hata kuliko angekaa na kimeo mimi
nimekupenda bure bila hata senti tano!
umeongea kiutu uzima sana i see!
baraka zikawe kwako na kwa wote walio chini ya paa ya nyumba yako!
 
snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,151
2,000
Huyo kijana kukwambia akifa we ni sababu wala hisiwe sababu ya wewe kumkubalia kwani unaweza ukawa usanii kama usanii mwingine! Hebu jaribu kumpima kama ana kufaa na ana upendo wa kweli!
Hapo kwenye umri siwezi kuongelea kwani inaweza isiwe tatizo kama mnapendana kwa dhati!
Hiyo case ya2 inaonekana huyo mzee ana tegemea madawa(ushirikina) wala usisumbike nae we endelea kuomba hata akienda kukufanyia atagonga mwamba!
kwanza huyu hivi hana case ya kufile kweli?
nahisi kuna grounds za kufungua kesi hapa!YAWE TU KISHERIA IF SO IS THE CASE?au mi na akili zangu za vitenzi ndo zinanielekza hviii?manake mwalimu wako naye amejaa vikumushi vishirikishi tu kichwani mweh!
 
Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,100
2,000
Too bad unapendwa na watu wenye akili za kitoto...
case one...mi mtoto mwenye akili za kitoto
case two...mzee mwenye akili za kitoto...kuna stages lazima aliruka mzee huyu...
case zero...ni wewe hapo...umeshajiuliza kwa nini unavutia machizi zaidi kuliko wenye akili timamu?
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
43,946
2,000
Habari zenu ndugu wapendwa wana MMU wote,

Kwa heshima na taadhima naomba kuwashirikisha mambo yangu wawili yanayohusiana na mahusiano kwa ushauri zaidi na majadiliano,
Case no 1..
Kuna kijana anadai ananipenda lakn nimemkatalia kwa sababu haiwezekani kuwa nae (we are not compatible at all at all)..Age much older than him na mambo mengine.Lakini reaction yake ni kuwa yeye kama akifa saa yoyote basi mimi ndio chanzo na kama wakipeleleza watajua mimi ndio chanzo..Nilikuwa nachukulia utani lakn sasa naona huu wimbo wa kufa unazidi..sijaelewa kama anatania tu au yupo serious lakn ninavyomuona akili zake dakika mbili mbele...Asije akafanya kweli afu nikawa sababu... Nishaurini ni handle vipi hii issue.

Case no 2.
Kuna babu mtu mzima above 60 ananing'ang'ania niwe kwenye familia yake kama mke/mkwe.. Ilianza wakati naanza kazi na nikamkuta hapo ofisini.Alikuwa anaonyesha dalili za ku care lakn sikumpa nafasi ya kuropoka... Baadae sijui alikata tamaa au vipi akaoa yani akafunga ndoa na mke aliyekuwa anaishi nae.Baada ya hilo akaja baba mwingine wa hapo ofisini na kunieleza jinsi huyo babu alivyokuwa anajigamba kuwa ni lazima anioe na alinifanyia hata dawa(kwa mganga) iliyoshindikana anyway.Nilimuita na kumuuliza habari hizo mbele ya mleta habari na hakukana/alikubali..Juzi kati kaibuka tena akidai kuwa ni mpango wa Mungu niwe naye...Ndipo nilimuuliza kama ana mpango mke wake afe ndio anioe(ndoa ni mpaka kifo kitenganishe).Alishtuka kwa maneno hayo na akageuza kibao na kusema kuwa kama yeye imeshindikana basi ni LAZIMA mtoto wake anioe.Akaongeza kuwa nitake nisitake lazima niingie kwenye familia yake..Sijamuelewa huyu mzee ana nini na mimi? na anaringia nini.Ninavyomuona ni kama hatanii na anachoongea. Naombeni ushauri na maombi ikiwezekana ili aniwache nipumue...

Siku zoote nakuchukulia wewe ni married au una mtu permanent
kwa maelezo ya leo ni kama upo single
ukiwa single usumbufu wa hivyo ni kawaida
anahitajika kidume kuwadhibiti hao wazushi,hasa huyo mzee
 
asakuta same

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
14,835
0
duh! pole sana .
case 1: huyo ana matatizo ya akili ,muepuke ni hatari ila pia kama mtu anakuwa na suicide ideation huwa ni lazima iambatane na siri na zaidi kama angekuwa anamaanisha angekuwa ameshafanya attempt.

case 2: huyo mzee ni msanii wa mjini tu inawezekana hata huyo mwenzake alimtuma yeye makusudi ,wanaologa hawatangazi wa kusema....mzee anakutafutia gia ya kukumega kwa kutumia mbinu tishano.

hitimisho: mshirikishe kidume chako ,kama huna ni muda wa kuwa na mmoja ,kwenye case kama hizi akuwekee kifua na after all uwepo wake ni tosha kwa hao kufyata mkia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom