Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Hahahah umenikumbusha kitu Kuala Lumpur....hahah what's up Skillet...lolHivi unam-consider huyo mtoto kama pax by himself??
I will tell you my experience. Malaysia is a beautiful country. Its cities are attractive. Air ticket from Dar to KL ni $610 kwa hiyo watu wawili itakuwa ni $1220 na mtoto analipiwa 10% ya ticket ya guardian wake so ni $61. Kwa hiyo tickets for all of them itawagharimu roughly $1300.
Fantastic room in Kuala Lumpur ni $50 per night on bead and breakfast kwa hiyo kwa dola 350 they can secure a very good accommodation for themselves for a week. Standard amount for meals ni $10 per person per meal kwa hiyo in a day watatumia $40 which means per week watatumia $300.
Let them visit Menara tower, Petronas towers, Big malls in KL ambazo zote zinapatikana pale CBD hiyo haitowagharimu hata $40. Let them visit Batu caves in another day ambapo kiingilio ni $5 per person, let them attend cinema show in one night ambapo kiingilio ni $10 per person ambayo itakuwa ni $20 let them do city tour on a olen roof buses ambapo fee ni $10 per person.
On another night let them visit China town in the afternoon ambapo ni kama kariakoo tu ambapo ni free, then at night let them visit Kuala night market ambapo they will just go for dinner, they wont spend more than $20 and mind you hela ya meals kwa siku zote hizo nshaigia hesabuni pale juu. Out of those 7 night they can opt to stay in their rooms and have s*x for two nights without going anywhere.
Kwahiyo bro usidhani hiyo pesa ni ndogo na tusiwakatishe travellers kama Mother Confessor tamaa.
cc: RRONDO
Nimewaza tuNini tena? Funguka
I seePesa ni ndogo kwasababu ana masharti mengi. Angekuwa hana limited budget angeenda popote hata Grumeti
😄😄😄😄😄😄Hahahah umenikumbusha kitu Kuala Lumpur....hahah what's up Skillet...lol
Umeanza nini kwa mfano?? Nchi gani jamaa aende sio??Nimewaza tu
Madagsacr is expensive, Seychelles is in a consideration na Comoros (nope)Huko mbali aende visiwa vya komoro,shelisheli au madascar hatajuta
Ok byeMadagsacr is expensive, Seychelles is in a consideration na Comoros (nope)
Umeanza nini kwa mfano?? Nchi gani jamaa aende sio??
Thank you man!Ok bye
Hakuna kubwa kwa mungu, mapambano tu yanahitajikame ndo sipajui popote,nimetamani hata ingekuwa ni mimi mwenye uwezo huo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkuu, hapo ni lazima apunguze baadhi ya masharti.....either amuache mtoto au mkewe apambane na hali yake....wakifanya mchezo watajikuta wanapanda bombadia ...ni saa 1 na 30mn tuu unatua songwe hapo....... hapo hali ya hewa, umbali na budget zote zinabalance!
Ela yake ndogo sana dollar 2500 = tsh 5,000,000 so viela vidogo sana wala hafiki mahaliMkuu mbona sehemu zipo nyingi sanaa
Mwambie aende china akadhuru lile daraja la kioo
Au iceland kule kuna hotel za chini ya bahari ata enjoy
Au Atakama Namibia kwenye jangwa la atakama kuna adventures nyingi tu na ni cheap kwa kiasi chake
Au Italy akahudhurie matamasha ya miziki ya asili ya watu wa italy
Au Brazil...., huko ndo kuna alot of adventures
Au mwambie akatembelee hata mbuga ya serengeti
Wewe hata kusafiri hujawahi inaonyesha.Ela yake ndogo sana hats nauli haitoshi
Mfano kama akienda turkey
Visa 400000
Flight go & return per kichwa USD 1400×2(mkewe) × watoto
Health insurance $ 600
Hotel per day 20$
Hivyo viela vyake aje tu huko moshi anywe mbege arudi au aonge dau angalau dollar 15000 ili anjoy maisha ya mbele
Weka data zako mkuu hiyo pesa ni ndogo kwa nchi za ulaya na documents ndio zitakukataa hasa kwenye uombaji wa visa kama schengen visa na healthcare insuranceWewe hata kusafiri hujawahi inaonyesha.
Acha uongo mkuu, ntakuwekea data hapa uumbuke