Ushauri unahitajika: Which country should he visit?

Yeye Yuko wapi
 
Mie zoezi la kusafiri silipendi kabisa. Ila nikishafika niendako hasa kama ni vacation ni raha tupu na ikifika siku ya kuondoka ninakuwa na hamu ya kuendelea kuwepo. Sijawahi kujutia safari zangu zote.

Mie kusafir kulinishinda jaman..ss hv nasafiri kweli ila nanunaaa
 
Yeah mkuu. Lete ushauri kaka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜‚πŸ˜±πŸ˜±πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Hivi unajua hiyo hela hata BAJAJ hainunui...
.!!?
Bongo mamaee
 
Pemba kuna hoteli ya chini ya bahari kuna na msitu mkubwa ambao hauna Wanyama wakali, beach ziko bomba pia na watu wakarimu sana, niliwahi kwenda na sikujutia.
Jamaa hajafika kwenye hiyo hotel lakini ni Mzanzibar na huko pemba kashafika sana
 
Jamaa yupo hapa hapa TZ, history is his thing. Wanapenda pia beach na modern cities kuona sio mbaya. Kwa mfano mwaka Jana tulikuwa Singapore, Malaysia, Cambodia na Thailand. So you can see what kind of people he is or we are
 
Mie zoezi la kusafiri silipendi kabisa. Ila nikishafika niendako hasa kama ni vacation ni raha tupu na ikifika siku ya kuondoka ninakuwa na hamu ya kuendelea kuwepo. Sijawahi kujutia safari zangu zote.
Hebu recommend one of the destination ambayo hukutumia pesa ndefu sana na pia sio mbali sana (in terms of flight hours)
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜‚πŸ˜±πŸ˜±πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Hivi unajua hiyo hela hata BAJAJ hainunui...
.!!?
Bongo mamaee
5.5M hupati bajaj mkuu??
 
We jamaa mbona ka ni wewe ndio unaomba ushauri unasingizia rafiki yako
Mzee baba huwezi thibitisha ni mimi, kinachokupasa uamini ni mwana until utakapothibitisha ni mimi. Toa ushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…