Ushauri unahitajika: Which country should he visit?

Pemba kuna hoteli ya chini ya bahari kuna na msitu mkubwa ambao hauna Wanyama wakali, beach ziko bomba pia na watu wakarimu sana, niliwahi kwenda na sikujutia.
 
Hapataki TZ
Rafiki yako yupo nchi gani? Ili mtu asije sema aende Kenya wakati yupo Kenya. Pia anapendelea vitu vya history,adventures, beach au ....??? Huwezi kupewa sehemu ya kwenda bila ya kusema nini anapendelea kuona hata iwe family vacation lazima kuwe na kivutia flani kitampeleka kule.


Nangatukaa πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…