90sgeneration
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 443
- 539
Wakuu habari zenu.
Naleta ombi kama nilivotumiwa mshauri huyu binti.
Ni binti 28yrs now, Yuko manispaa ya urambo mjini Tabora uko. Nyumbani kwao anakoishi sasa wana fremu za biashara kama nne, na fremu moja iliokua na saloon ya kiume imebaki wazi, aliekua hapo ameoa na kahamia Mwanza, alikua na wateja wengi cas ni mtaa wa waswahili, na amekaa hapo huu mwaka watatu.
Anataka afungue fremu pia hapohapo ili aendeleze, sasa yeye hajui kunyoa na kikubwa zaidi anamatatizo ya mguu bado alipalalaiz japo anarecover so hawezi kusimama kabisa bado, na alikua ni wa kulala tu ila sasa angalau anaweza kukaa.
Anataka amuajiri kijana awe hapo, ila hajui kuhusu atamlipaje, amuongoze vipi, yani afanye vipi ili asiibiwe sana, cas angalau anataka aweze kumudu matibabu yake yeye mwenyewe, ndugu anaona kama washamchoka humuhudumia hadi vocha.
Hebu mpeni muongozo atasoma hapa wakuu cas haelewi maswala ya saloon kabisa.