Ushauri unahitajika kwa huyu dada yangu

Ushauri unahitajika kwa huyu dada yangu

Fazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2019
Posts
631
Reaction score
1,439
Nawasalim wote wakuu

Ushauri unahitajika kwa huyu dada yangu .Dada angu anafanya kazi kwa wahindi za madawa (medical sales) dar es Salam. Kuna kampuni alikua mwanzo aliacha kazi baada ya boss wakampuni aliyopo ss kumtaka ahamie kwake.

Amefanya kazi kwa hii kampuni kwa mkataba wa mwaka mmoja .Baada ya kumaliza mwaka wakammwongezea mkataba wa miaka miwili..

Baada ya kufanya kzai miezi minne ya manzoni mambo yalikua swari sasa kimbembe kikaanza mwezi uliopita boss akamwita na kumweka kikaangoni kwa mda wa miez mitatu kama asipofika target ya mauzo atamfukuza au arising at the moment

Dada akagoma kurisign akataka awekwe kikaangoni licha ya kwamba yy sie pekee aliekua na mauzo duni wanapewaga paper ya mauzo kila baada ya mwezi kwa hy kila mtu anajua mauzo yake na mwenzake.japo wengine hawajawekwa kikaangoni.

Sasa leo boss kamwita anataka arisgn licha ya kwamba miez mitatu haijafika .yani kamwita ofisini anamfosi aache kazi boss hataki kumshirikisha hr wala boss mwenzake na anamwambia sista akirisign atampa na 600k.ili mabo yasiwe mengi sista kachanganyikiwa ndo kanipigia sim hapa kuomba ushauri .Wataalam najua mpo humu hii kisheria imekaaje je akigoma kurisign atashinda kesi

Boss alimhamisha sehemu aliokua kamwajiri sasa anamtimua na bado kule alikua na demand kwa kipindi hiko je hii ni haki ..Je atashinda kesi mabo yakiwa makubwa ushauri tafadhali😔😔
 
Nisubiri wajuvi wafafanue vizuri nipate kuelewa, maana hapa nimetoka patupu. Lol
 
Kwenye mkataba kama kuna sehemu mmoja wapo akivunja mkataba atalipa mishahara ya miaka yote miwili basi wafuate taratibu za kuvunja mkataba. Alipwe mishahara ya miaka miwili kama kwenye mkataba term hiyo ipo.
 
Nawasalim wote wakuu

Ushauri unahitajika kwa huyu dada yangu .Dada angu anafanya kazi kwa wahindi za madawa (medical sales) dar es Salam. Kuna kampuni alikua mwanzo aliacha kazi baada ya boss wakampuni aliyopo ss kumtaka ahamie kwake.

Amefanya kazi kwa hii kampuni kwa mkataba wa mwaka mmoja .Baada ya kumaliza mwaka wakammwongezea mkataba wa miaka miwili..

Baada ya kufanya kzai miezi minne ya manzoni mambo yalikua swari sasa kimbembe kikaanza mwezi uliopita boss akamwita na kumweka kikaangoni kwa mda wa miez mitatu kama asipofika target ya mauzo atamfukuza au arising at the moment

Dada akagoma kurisign akataka awekwe kikaangoni licha ya kwamba yy sie pekee aliekua na mauzo duni wanapewaga paper ya mauzo kila baada ya mwezi kwa hy kila mtu anajua mauzo yake na mwenzake.japo wengine hawajawekwa kikaangoni.

Sasa leo boss kamwita anataka arisgn licha ya kwamba miez mitatu haijafika .yani kamwita ofisini anamfosi aache kazi boss hataki kumshirikisha hr wala boss mwenzake na anamwambia sista akirisign atampa na 600k.ili mabo yasiwe mengi sista kachanganyikiwa ndo kanipigia sim hapa kuomba ushauri .Wataalam najua mpo humu hii kisheria imekaaje je akigoma kurisign atashinda kesi

Boss alimhamisha sehemu aliokua kamwajiri sasa anamtimua na bado kule alikua na demand kwa kipindi hiko je hii ni haki ..Je atashinda kesi mabo yakiwa makubwa ushauri tafadhali😔😔
Pole sana kwa hiyo changamoto mkuu, nadhani hapo mkataba ndiyo utakaomlinda
 
Back
Top Bottom