Ushauri unahitajika hapa

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Coca atatesa sana watu humu ndani
 
Kilicho sababisha ni comment ni kwa sababu ya urefu wa hili gazette.. Kila nikitaka kuusoma macho yanauma 😁😁,
 
Wewe umeleta uzi wakuomba ushauri,halafu unatupangia chakushauri! Kwahiyo ulitaka tutoe ushauri ambao utakufurahisha wewe tu? Kama ni hivyo,sasa kulikua na maana gani ya wewe kuleta uzi wa kuomba ushauri hapa?
Ushauri umetoa, na nikapata wasaa wa kuuliza juu ya ushauri wako, nini mbayaaa????
 
Em jitangaze kivyako, kwani lazima unitumie mie?
Mxxxiiiiieeeeew!!!
 
Imagine aiseee alianza kugundua anapenda kuwekwa vidole mda ule wa kuaandana bibie akimnyonya naniiii mwanaume anajichanua kama uyoga halafu anamwambia bby we nifanye chochote huu mwili ni wako πŸ˜„
Nimechekaaa km mwendawazimu vilee.
Eti ninii?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila cantry, yaani nihamasishe ushoga kwa kipi? Hii mie nimeikuta huko FB nikaoma niilete hapa, watu watoe maoni.

Km unataka story kuhusu ndoa na migogoro ingia kwa page husika, chukua ilete humu watu watatoa maoni.

Mie nimeamua niilete hii. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…