USHAURI: Uandishi wa Thread Titles kwenye Forum hii

USHAURI: Uandishi wa Thread Titles kwenye Forum hii

Utekelezaji ni vigumu. Mi nadhani mtu akiandika title ''msaada'' kwanza unampa link inayomleta kwenye hii post afu ndo unaendelea na mengine
 
Utekelezaji ni vigumu. Mi nadhani mtu akiandika title ''msaada'' kwanza unampa link inayomleta kwenye hii post afu ndo unaendelea na mengine

wazo zuri, naona wanaohitaji msaada hawana muda wa kusoma threads nyingine...
 
Kweli kabisa, hakuna kinachoniudhi kama kufungua JF na kukuta Thread 3-4 zote zenye vichwa visivyokuwa na maana "Msaada", "Msaada Tafadhali", "Nimekwama.."

sawasawa mkuu, kumbe tupo wengi inabidi kubadilisha hii hali
 
Ushauri wako ni mzuri sana mkuu ila nadhani ingekuwa bora zaidi kama ungeupeleka kwenye jukwaa la complaints, congrats and advice forum.
 
Ushauri wako ni mzuri sana mkuu ila nadhani ingekuwa bora zaidi kama ungeupeleka kwenye jukwaa la complaints, congrats and advice forum.

Mkuu hii inahusu jukwaa hili zaidi, Admin naamini watahamisha wakiona inafaa
 
ibaki hapa ili mtu aki... Una...
 
  • Thanks
Reactions: KXY
Naunga mkono hoja. Pengine moderators pia wanaweza kusadia sana katika hili hasa nikilihusianisha na suala la anayeanzisha thread kutokuwa/kutokupewa right ya ku edit title ya thread yake.
 
lol! Inafaa kuwa sticky! Wangapi mnaunga mkono mods waibandike iwe sticky kuwasaidia newcomers?

naunga mkono. Ila kuiweka sticky haimaanishi ndiyo itawasaidia newcomers. Inaweza wekwa sticky na bado wasiisome.
 
Samahani wanandugu nahitaji msaada wa haraka
 
Back
Top Bottom