Dar gari ni kila kitu nowadays...usione watu wana kopakununua gari ukawaona wajinga....
mara mgomo mara upuuzi gani ili mradi ka nchi kagumu haka
Habari wana JF,
Mimi ni binti wa umri 24, nilishawai kuwa kwenye mahusiano yapatyo miaka 4 but baadae tukaachana kwa matatizo yalayotokea kati yetu. Aliwai kuoa na kupta mtoto mmoja but nikamkubalia na kuwa naye kwa kipindi chote hicho kwa kua alinambia ameshamuacha mkewe.
Ila siku zlivyozidi kwenda nikagundua kuwa bado wapo pamoja na wanaishi pamoja ni baada ya mwaka mmoja nikaingia kwenye mahusiano mengine nilifurahia mahusiano hayo but nako nikaja kugundua kuwa yupo inrelation tayari na amedumu na huyo mwanamke kwa 3years.
Nikakubali kuwa spear tyre kwa kua nilimpenda na kumthamini but ikafikia kipindi nikashindwa kuvumilia coz alikua ananiongelea maneno ya kunikatisha tamaa juu ya mahusiano yangu na yeye coz alikua anasema eti ye hana mpango na mwanamke yoyote yule kati yetu watu pia wala hafikirii kupenda so najisumbua tu kwake may be nikitaka niwe tu kama rafiki yake yaani kama kukiwa na tatizo lolote tusaidiane hata kama likihusisha mwili.
Mi nikambulia kwa kua nilimpenda na kuamin kuwa anaweza kubadilika kimawazo bt haikua hivyo aliendelea kuongea kauli hizohizo. Siku zikapita huku tukiendelea kuwasiliana vizuri tu huku mimi nikiamini tuko kwenye mahusiano coz nilichukulia maneno yake ni jambo la kawaida coz ni mtu wa masihara sana siku zikipita na maisha yakaendelea hivyo hivyo ikafika siku amenitunia sms eti kuna sehemu alienda kumtembelea rafiki yake wa kike na ikatokea wakanywa nakuishia kusex naye.
Kiukweli hili jambo liliniumiza kweli na kujiona kweli mimi sina thamn juu yake coz amaweza kujirahsisha kiivyo tangia hapo mapenzi yangu kwake yalipungua na kujiapiza kutompenda tena kama nilivyokua nampenda na kuamua kukaa kimya but sasa amenitafuta tena anadai ananipenda eti anadai alikua na akili za kitoto na anajutia kilichotokea hivyo turudiane na kuanza upya nashindwa kumwelewa ni kweli ananihitaji au anataka tu kunipa stress upya.
Ushauri tafadhalii
Na ukioa utaishi kwenye gari.
Wewe na mkeo wote kwenye gari.
Watoto wote kwenye gari.
Vyombo,nguo, vyote kwenye gari.
Choo utajenga kwenye gari.
Ukiugua utajiuguzia kwenye gari.
Ukifiwa msiba utaweka kwenye gari.
Umewaza vizuri,GARI NDIO KILA KITU!
Nyumba za kupanga zipo kibaaa mjini...
Gari y kukodi ni Ghalikuliko nyunb ya upanga
Gari kwanza nyumba baadae
Ndio maana tunataka utambuzi wa kimatamshi kwa baba/mama mwenye gari utambulike kisheria.Nyumba za kupanga zipo kibaaa mjini...
Gari y kukodi ni Ghalikuliko nyunb ya upanga
Gari kwanza nyumba baadae
Mkuu kiroho safi nimependa vina vyako, lazima utakuwa mbongofleva weye.Usipate tabu bibie.
Wanaume wapo wengi sana,wenye mvuto,wenye kujua thamani ya mwanamke,WASIKILIZE wakikujia.
Au watafute utawapata.
Usilazimishe kupendwa,WAKATI WAPO WANAOKUPENDA.
Anapokuona wewe wa nini,wapo wanaowaza watakupata lini,
Watakupata vipi.
Achana naye!
Usiwe mtumwa hisia!
AMINI YUPO WAKWAKO,AMBAYE ATAKUFANYA USAHAU YOTE HAYO.
MKAFANYA MAISHA,mkawa na
NDOA YENYE FURAHA,mkajenga
FAMILIA YENYE AMANI.
Mpaka utajiuliza,ulikua unang'ang'ania nini kwa Huyo?
Utatamani kama mngejuana toka mapema!
Mapenzi ni kupendana!
achana nae mdogo wangu,utaumia bure,huko alikokua ametibukiwa kwa hiyo kaamua kukurudia wewe ili apate faraja,pia anajua udhaifu wako kwamba unampebda hivyo anajaribu kuutumia.
nakuhakikishia huko alikokua mambo yamuendea mrama sasa ameamua kukukimbilia ww maana unaweza kupatikana kwa urahisi kuliko kuanza kufukuzia mwanamke mpya. unajua mwanamke ni kama kazi,ni rahisi kupata kazi ukiwa unafanya kazi kuliko ukiwa huna kazi,vile vile ni rahisi kupata mpenzi mpya ukiwa na mpenzi mwingine kuliko kutokua nae.
nakuhakikishia utakuja kulia tena,tena utalia sana tu.mkubalie kwa hasara yako mwenyewe.
thankx alot mkuu hilo ndilo lililopo akiln mwangu ctamani mapenzi na nhc hta km nikiwa naye ctompenda kwa dht coz siko sawa kisaikology...yn inafkia nachukia xna wanaume mpka ile aibu au woga juu yao huniishia xo naweza jibu fnys chochte kile mbele yao bila ya kujali wananionaje...........kuna kijna mmja ananisumbua xna ila namjibu ovyo bt bdo haonesh moyo wa kuchoka yn anjua kbsa nachukia anpoongelea swala la mapen bt haelewi he still comfort me bt naogp kbsaaaaaa kumpa moyo wangu coz he is already married for 7years now bt daaahh....ntajithd kufta ushauri wako..let me forget about love