ugali dagaa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,284
- 1,128
kichwa cha habari kinajitosheleza mazeee kufuatia mgomo wa madereva ukijumlisha na mvua za leo dah....mjini heshima gari ama heshima nyumba?
Khaa!! Gari unaweza kuifanya nyumba, lakini nyumba huwezi kuifanya gari :glasses-nerdy:
utaishi na familia kwenye gari!