Ushauri tafadhali

Ushauri tafadhali

Ushaona hupendwi dada angu,hebu geuza shingo then fanya mambo mengini.Kupenda husipopendwa ni kujitafutia matatizo yasiyo na msingi.
 
achana nae mdogo wangu,utaumia bure,huko alikokua ametibukiwa kwa hiyo kaamua kukurudia wewe ili apate faraja,pia anajua udhaifu wako kwamba unampebda hivyo anajaribu kuutumia.

nakuhakikishia huko alikokua mambo yamuendea mrama sasa ameamua kukukimbilia ww maana unaweza kupatikana kwa urahisi kuliko kuanza kufukuzia mwanamke mpya. unajua mwanamke ni kama kazi,ni rahisi kupata kazi ukiwa unafanya kazi kuliko ukiwa huna kazi,vile vile ni rahisi kupata mpenzi mpya ukiwa na mpenzi mwingine kuliko kutokua nae.

nakuhakikishia utakuja kulia tena,tena utalia sana tu.mkubalie kwa hasara yako mwenyewe.
 
Mkuu huyo kakufanya uwanja wa bibi.... Mbona umri wako bado mdogo sana? Achana naye tulia fanya mambo yako,
 
Achana na yahaya huyo, tuliza akili kwa muda kabla yakuingia kwenye uhusiano mpya, ukiumizwa then ukaharakisha kuingia kwenye uhusiano mpya ili tu kuziba pengo la aliyepita hakika utakuwa unalamba magalasa ya aina hiyo hiyo, tulia fanya shughuli zako, yaani jifanye umesahau kuhusu mahusiano ndipo utaona wanaume wenye akili zao kwa wingi itakuwa kazi yako wewe kuchagua.
 
mm mwenyewe natafuta mwenye upendo ili niache michepuko so unaonaje ukanikubalia? wadau nisaidieni.......!!
 
umeanguka kwa mpigaji na wewe ndio vile tena umezama hata tukikupa ushauri utarudi kwake tu maana moyo wako ndio ulipoanguka hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom