Ushauri tafadhali

Ushauri tafadhali

Kula mbunye mkuu,fimbo ya mbali haiui nyoka,hata mchumba wako nae anamegwa huko kama kawaida
 
Kama dada mwenyewe ndiye huyo kwenye picha nakwambia ACHAAA..... nasema tena ACHA mara moja
 
Bila shaka picha imedhihirisha jinsi gani akili zako zinachowaza badala ya uhalisia wa Mtu alivyo kiundani.
 
Mwoe namba moja kukufanyia kila kitu sio kumsahau wa mwanzo so mwambie ukweli namruhusu apate mwingine unafikiroa tu huyo dada aje gafla kufanya yote hayo sianakukomoa huwezi lala asubuhi ukamka akawa amekuandalia hayo yote urudi ukute kaleta vitu vyake vyote nope huyo nianamatatizo poleni ila maisha yaendi hivyo maisha nikujipanga.
Maisha hukurupuki tulia na uliyenaye .
Nakama anashida msaidie kabisa kwa moyo mweupe ila kuacha kitu kwa msala upitao sio dili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom