Ushauri tafadhali

Ushauri tafadhali

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,438
Reaction score
3,951
Umemtoa dem bar alafu umemleta Kwako umemnyandua vizuuri unalala.
kesho yake kabla ujaenda job unaamka unakuta ameng'arisha nyumba yote na akakupikia Chai ya nguvu kisha anadai anaomba muongee anakwambia NAOMBA UNIOE MIMI. Hata kama ni bar sitaenda huko tena." Kisha unakunywa chai nzuri unamwambia tutalonga jioni.
Unaenda zakoKAZINI unamwacha nyumbani kwako unarudi unakuta amepiga pasi nguo zote vizuri tu, amekupikia chakula kitamu, amepanga nguo zako vizuri na chumba chako safii alafu unashtuka kuona ameleta kila kitu chake. Ukicheki una mchumba wako yupo mbali Kidogo mnaonanaga Kila baada ya mwezi mmoja. Na uyo mrembo ameng'ang'ania kwako alafu wallai anajua staili zote za mnyanduano zaidi ya mchumba wako. Je utafanyaje?

Girl beauty.jpg
 
Hapa nafikiria ameshawafanyia wanaume wangapi hapo bar kabla yako. Hakika biashara itangazwao ndio iuzwao.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hayo sio maswalibya kuuliza mwenye kisu kikali sindio hula nyama sasa
 
Kiukweli uzi wako umeunogesha kwa picha nzuri sana. Hongera sana.

Hivi unadhani kwakuwa anafanya kazi bar hana hisia za kuwa wife material?
Au kwakuwa umemtoa bar ndiyo unamshusha vyeo vyake?
Amini usiamini, huyo wa bar anaweza kuwa vizuri kuliko hata huyo unayemfikiria.

Fanya uchaguzi mwenyewe boss.
 
Mi nimefaidi hizi picha kwenye huu uzi, kiukweli umejitahidi kwenye swala la kuweka picha kula like
 
muoe tu mkuu mana unamsaliti mchumba wako. fanya kama unamiliki jiko
 
Ila una akili sana kuambatanisha na picha
Wanasayansi wanasema iq ya mwanaume rijali hupungua kidogo akiwa pamoja na mwanamke mwenye mvuto
Akili inakuambia hivi kichwa kidogo huku chini kinakwambia vingine
 
Mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote pia

M naona uchague yule unaempenda unaeona anakufaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom