Ushauri tafadhali wakuu

huo uandishi..unajiona kama ''starring'' vile.....

Tena ukomepo mi watu ka hao cwaonei hurumaaaa......
Na ushukuru hukupata ukimwi wala magonjwa ya ngono

Hongera kwa kuwa baba kijachooo na pia hongera kwa kuanza chungulia jeraaa mpendwaaa
 
Onguluo

Watu kama wewe mpo wengi sana kwenye hii dunia elimu huna umetoka kwenye broken family unakwenda disco unachukua demu hujatumia hata kinga.Huyo mwanafunzi ana umri gani?

Ana umri wa miaka 20.
 
Last edited by a moderator:
Kumbukeni kwamba hakuniambia kuwa yye ni dent na sasa anadai pesa ili akatoe ili akachomoe.
 
usikimbie majukumu we mwanaume wenzako wanalilia watoto we unakataa mimba..ila jela itakuhusu
 
Nilikutana na
mrembo mmoja disco vumbi akiwa stejini anasakata rumba kama kawaida
mzunguko mwenye dau kubwa ndo anacheza na demu, nikakata mshiko pale
nikaanza kudansi na mrembo huyo huku nachana mistari demu akaeleweka
nikaupua mzigo hadi gheto nikala mzigo hadi saa kumi na moja asubuhi
nikamutoa akaondoka zake mapema. kumbe huyo demu alichukua namba yangu
kwenye simu bila mimi kufahamu.

Baada ya mwezi mmoja simu yangu ikaiita kucheki naona namba ngeni
nikapokea kwa kujiamini, akasema mpenzi habari za siku nikamuuliza wewe
nani unaitaita watu wapenzi? akajibu akisema mi Loveness uliyemchukua
disco tukaenda kwako kulala, eeh unasemaje sasa, eti mimi nina mimba
yako mwezi ulopita sikuona siku zangu, halafu ujue mimi ni mwanafunzi
kidato cha pili nipo shuleni sasa hivi kwahiyo nimeona nikujulishe
kinachoendelea, kidume nilichokaje na akazidi kusisitiza kama huamini
nije tukapime.

Nikamuuliza disco ulitafuta nini kama wewe ni mwanafunzi, nikamuambia
nitolee ujinga wako hapa huo upuuzi sitaki hata kuusikia na kukata simu
kwa hasira.

Sasa wakuu mimi nifanye hapo na mazingira hayo, naombeni ushauri
wenu.

dah under 30 boys ni sheeeda. mara club mara bar. jaman bora mzee atakuheshimu.
 
Tutoleeee upuuzi wako apa,
Nilikutana na mrembo mmoja disco vumbi akiwa stejini anasakata rumba kama kawaida mzunguko mwenye dau kubwa ndo anacheza na demu, nikakata mshiko pale nikaanza kudansi na mrembo huyo huku nachana mistari demu akaeleweka nikaupua mzigo hadi gheto nikala mzigo hadi saa kumi na moja asubuhi nikamutoa akaondoka zake mapema. kumbe huyo demu alichukua namba yangu kwenye simu bila mimi kufahamu.

Baada ya mwezi mmoja simu yangu ikaiita kucheki naona namba ngeni nikapokea kwa kujiamini, akasema mpenzi habari za siku nikamuuliza wewe nani unaitaita watu wapenzi? akajibu akisema mi Loveness uliyemchukua disco tukaenda kwako kulala, eeh unasemaje sasa, eti mimi nina mimba yako mwezi ulopita sikuona siku zangu, halafu ujue mimi ni mwanafunzi kidato cha pili nipo shuleni sasa hivi kwahiyo nimeona nikujulishe kinachoendelea, kidume nilichokaje na akazidi kusisitiza kama huamini nije tukapime.

Nikamuuliza disco ulitafuta nini kama wewe ni mwanafunzi, nikamuambia nitolee ujinga wako hapa huo upuuzi sitaki hata kuusikia na kukata simu kwa hasira.

Sasa wakuu mimi nifanye hapo na mazingira hayo, naombeni ushauri wenu.
 
Unachukua kahaba disco na kuzini nae bila kutumia kondomu, hukujua kuwa kuna UKIMWI??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikutana na mrembo mmoja disco vumbi akiwa stejini anasakata rumba kama kawaida mzunguko mwenye dau kubwa ndo anacheza na demu, nikakata mshiko pale nikaanza kudansi na mrembo huyo huku nachana mistari demu akaeleweka nikaupua mzigo hadi gheto nikala mzigo hadi saa kumi na moja asubuhi nikamutoa akaondoka zake mapema. kumbe huyo demu alichukua namba yangu kwenye simu bila mimi kufahamu.

Baada ya mwezi mmoja simu yangu ikaiita kucheki naona namba ngeni nikapokea kwa kujiamini, akasema mpenzi habari za siku nikamuuliza wewe nani unaitaita watu wapenzi? akajibu akisema mi Loveness uliyemchukua disco tukaenda kwako kulala, eeh unasemaje sasa, eti mimi nina mimba yako mwezi ulopita sikuona siku zangu, halafu ujue mimi ni mwanafunzi kidato cha pili nipo shuleni sasa hivi kwahiyo nimeona nikujulishe kinachoendelea, kidume nilichokaje na akazidi kusisitiza kama huamini nije tukapime.

Nikamuuliza disco ulitafuta nini kama wewe ni mwanafunzi, nikamuambia nitolee ujinga wako hapa huo upuuzi sitaki hata kuusikia na kukata simu kwa hasira.

Sasa wakuu mimi nifanye hapo na mazingira hayo, naombeni ushauri wenu.
Kijana unaonekana hujali afya yako kabisa, umekutana na Dem disko unamla bila kondomu, umekutana na jimama muuza asali umekula bila kondomu, nk nk!!

Jamani tuwe makini na afya zetu
 
Ndio hivyo,ilikuwaga mzee .
 
Ndio hivyo,ilikuwaga mzee .
Kwa kuwa umepima na umesalimika upo HIV negative, nakushauri achana na ngono zembe, tafuta mwanamke mmoja pima nae, akiwa yupo salama kuwa nae huyo huyo mmoja mwaminifu, kijana wa 30 years ni nguvu kazi ya taifa, usichezee afya yako kizembe!

Ukishindwa kuwa na mmoja mwaminifu, tumia kondomu kwa kila tendo, UKIMWI upo na unaua na kuangamiza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom